Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Mwanza kuna tajiri kumzidi Zongii?

Hizi ndizo mada wanazoziweza masikini.

Ukitaka kujua habari ya tajiri basi muulize masikini .

Vijana hamtaki kufanya kazi mnakaa vijiweni kubishana kuhusu nani ana hela.

Shtuka kijana umri unakutupa mkono hata bibi naye alikuwa binti shauri zako usiseme hatukukwambia.
Bora huyo kaleta hizo stori zinaamsha watu kupambana! Wewe mtoto wa kiume unaeleta story za madada poa, mashoga, umbea wa mjini wote unaujua..
Topic kama hizo uwe unakausha! Subiri topic zako!
Embu tupe habari za Mwijaku kwanza🤣🤣🤣
 
Kwa utajiri wa raila huo sio uwekezaji kwake...hizo ni story wala hamjui raila,zongi ameanza biashara ya duka mwaka 2009 hapo pembeni ya GJ hotel...ni mpambanaji wa kawaida
Lisemwalo na watoto wa mjini usipuuzie , kuna watu wanadadisi mambo kuliko unavyoweza fikiri
 
Bado haoni ndani kwa KISHIMBA
-Anamiliki Dar city Mall
-Anamiliki Meli kadhaa
-Anamiliki Kivuko cha Mwaloni
-Anamiliki Mabasi kama yoye
-Anamijengo na alisogeza maji ya Ziwa ili apate eneo kubwa
-Kila Sherehe ya mwanae anaalika wasukuma kula mpk kusaza wanajaa CCM Kirumba kama UTO na KOLO wanavyojaa kwa Mkapa
 
Sio tu Mwanza tuseme Kanda ya Ziwa hii kuna tajiri kumzidi huyu jamaa anaemiliki kampuni ya utengenezaji mabomba?

Kununua Sahara mjini kati sio mchezo na kujenga ukiamka tu unaona ziwa Victoria kwako sio mchezo, kuendesha gari kali za kimarekani sio mchezo kabisa

Huyu kijana anatoa inspiration kubwa sana kwa vijana
Utajiri ni siri na siri ndio utajiri wenyewe!!

Nilishangaa kwamba eti mfalme Suleiman na utajiri wake wote yupo kuzimu na sio mbinguni!!
Eti aliabudu miungu ya wake zake ya masanamu!!
 
Back
Top Bottom