Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Huo ni miaka nenda
Tangu nasoma Primary ndiyo tulikuwa tunapelekwa pale na Dingi week end au Salma Cone.Baada ya kutoka Mwanza ikawa mara chache nikija naenda pale.Nina muda mrefu sijaenda tena nikifika Mwanza.Nazurura viwanja vingine tu
 
Jaribu ROYAL OVEN mkuu
 
Mwamba kukosa mkate wa rangi ya udongo kajikuta binge la mjanjaaaaaaa watu waliotoka mkoani wakaja kuishi dar siku wakirudi mkoani kwao wanajionaga kama wametoka ulaya acheni ushamba.Mi ni mtoto wa town make nimezaliwa Ilala Amana home ni hapo mtaa wa Songea na kilwa.Ila nyie watu wa mikoani acheni kudharau mikoani kwenu kisa mmeishi dar mkiwa wakubwa.
 
Wape ukweli hawa wakuja wenzetu
 
Kinachonishangaza ni jinsi gani hamuheshimu "culture "ya sehemu husika, Huwezi kuondoa culture ya kimasai Arusha Kama ambavyo, Huwezi kuiondoa culture ya kisukuma mwanza.
Hata Dubai kuna culture ya waarabu haiwafanyi kuwa washamba.
Kwani umeambiwa. Mwanza ni ya Kinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa dar hiyo mikate wanauza hadi wanaotembeza mtaani
Ndo maana kuna wanaume wa Dar (wala chipsi na mikate) na wanaume wa kanda ya ziwa (hapa ni ugali wa ulezi+udaga na samaki Hai)
 
Nyasaka watu wanajenga balaa.

TBH Mwanza ni pazuri compared na Arusha..hata town yao ni kubwa na inapendeza.
 
Anza na waghill. Sehem zingine utazijua zaidi ukifika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…