Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.

Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.
Unajua kuna watu wanachekesha sana,Mwanza inasupply vyakula kwa Wale wazungu wa Geita Gold Mine kuanzia mikate na kila aina ya chakula wanachotumia ije kuwa hakuna Brown Bread kweli? Hapo Mwanza kuna Royal Bakeries kibao.Kuna U-turn Supermarket ina kila bidhaa ambazo kwa hapa ulinganishe na Shoppers or Villange supermarket,halafu mtu aje atudanganye kakosa Brown Bread mji mzima wa Mwanza.
 
Kuna wakati nikiwa mwanza nakumbuka kipindi makoroboi ikiwa hai nilizunguka jiji zima kutafuta kandamnili(ndala) huwezi amini nilikosa.

Tokea that day jiji la Mwanza nilidharau.
 
Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.

Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.

Mimi siyo hitaji langu
Lakini nakutana nayo bakery
 
Upatikanaji wa bidhaa ni kulingana na uhitaji wake/matumizi. Kwa Mwanza mikate hiyo haina soka kabisa na inauzwa bei ndogo kulinganisha na white bread. Sasa ukizingatia na kua mikate haina shelf life kubwa kwanini wafanya biashara wahangaike nayo?

Ukweli ni kua mikate hiyo ipo lakini haipatikani kila mahali sana sana kwenye supermarkets za wahindi utakuta tele.
Ngoja tumwelekeze aende U-Turn Supermarket ataikuta ipo tele,lakini asituletee blah blah zake za Mwanza nzima haina Brown Breads
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Ungeuliza TU; nipate wapi mkate wa Brown Mwanza?
usipende kuhukumu wakati labda umetembea 15% ya mji
Mbona kuna mwingine aliulizia pakupata Maziwa ya maharage ya Soya, akaelekezwa yanakopatikana
 
Wakati wewe unaona hiyo mikate ni mizuri kwa afya wao wanaona supu ya samaki, ugali n.k ni vyakula vizuri kwa afya zao.

Alafu unakulaje mkate Mwanza nawewe, Yani unazunguka mji mzima unatafuta mkate???

Ukija huku kula ugali wa mtama na samaki, ukirudi Dar Shemeji atakushukuru sana 😂😂
 
Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.

Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Super Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata staff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.

Ikabidi ninunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.

Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.

Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana huwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Kula kitimoto na bia achana na wanga.
 
Hapa dar hiyo mikate wanauza hadi wanaotembeza mtaani
 
AChana nao, wazungu wa Migodini lake zone kote mahitaji yao ya vyakula yanatokea mwanza sasa kama mzungu anapata mahitaji yote mwanza sembuse huyo mmatumbi wa jf ndio aje aseme sijui brownbredi nininini huko...
Nimecheke sana niliposoma hii Thread.Nikaishia kusema huyu atakuwa kafikia Mabatini au Igogo huko ndiyo maana hajaweza kuipata hiyo mikate sawa tu na uwe Tandale au Manzense kisha uulizie wapi utapata Pizza.
 
Kuto kujua kwao, haimaanishi bidhaa hiyo hamna, wao huenda Dukani kununua mkate, lakini hawajaulizia mkate wa namna hiyo.

Mimi nipo Dar, ukiniuliza swali la wapi utapata mkate wa namna hiyo, sina jibu, kwa sababu haijawahi kuwa hitaji langu.
Hoja ni kuwa hata supermarkets hawaijui hiyo mikate ya brown
 
Back
Top Bottom