Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Muongo wewe Royal Oven hiyo mikate ipo kilaa siku!rudi ulipotoka tuache na jiji letu hatutak wageni wenye maneno maneno
Jiji la mwanza lianze kuweka mipango kazi ya kuzuia watu wenye DNA za kibinti kwa watoto wa kiume kuja Mwanza, huku mwanza hakuwafai watu wenye element za umbeya kama mleta mada.
 
Hukuwenda pale royal oven karbu na Mwanza hotel ipo mingi tu na pale pembeni yake kuleana (pizeria )ipo we ulikuwa Mwanza ipi kama hayo maeneo hukufika mkuu au ulikuwa unatafuta vitumbua vya miamia katikat ya jiji !!!!!
 

Nyinyi wa Mwanza hata mkikosa pumzi sawa tu, Mlitesa sana kipindi cha mwendazake.
 
Kwani Arusha wanataka Ziwa Au Idadi ya Watu? Viko vitu vya msingi
Hatujazoea kuishi kwa nyama nyekundu kama hao wavuta bangi wa Arusha, sisi Mwanza kila kitu unapata, nyama nyekundu, kuku, samaki of all kinds mboga za majani n.k. hicho kijiji chenu sijui mnakiita kiarusha muwe mnalinganisha na Sumbawanga, Mwanza siyo level yenu.
 
Eti kuna vibe gani? Si ndiyo ushamba wenyewe sasa huo.Watu wanaangalia mzunguko wa uchumi wewe unakuja na ujanja wako wa Form Six wa kuulizia vibe gani? [emoji3][emoji3][emoji3]
Jinga hilo
 
Hivi wewe kwa akili yako unaona kwamba Arusha ni Jiji ? Pole sana kweli kukosa elimu ni ugonjwa mbaya sana.
 
Mwanza kuna mbadala wa vyakula vingi vya breakfast watu wengi wanapenda mihogo, magimbi, viazi, karanga za kuchemusha, supu ya samaki sato, ndizi ambazo ni natural and pure organic, ulisema Brown 🍞 kweli hapo utakuwa umekosea sana kwa wasukuma na wengine wa wakuja Mwanza yaani badala ya kula mihogo, ndizi, magimbi, viazi vya kukausha na fresh na supu ya samaki ambavyo ni pure organic ule brown bread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…