Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

Tunampenda sana baba yetu Lowassa,njoo baba japo walikuchakachua
 
kitu ambacho sijawahi kujaaliwa ni kukaa chini nianze kumsfia na kujikomba kwa mwanaume mwenzangu, sijawhi kifikiria kuacha kaz zangu kwenda kumlaki au kumsikiliza kiongozi wa siasa awe rais au ndg yake na raisi.
uzi kama huu ni wa kijinga.
nitangaze maslahi mimi pia ni ukawa tena kamanda wa ukweli lakini sina haja ya kukaa na ksifia yeyote nchi hii
 
Sasa why uniulize kwanini nampenda? Hitaji lako ni nini?? Jadili mada.

Duuh brother mbona umekuwa aggressive halafu mimi nimeuliza kwa vizuri tu?
Nimeuliza kwanini unampenda Yuri Andropov?
Its was just a simple matter mazee.
 
Aisee navihitaji, ntakupataje uniazime?

Aisee mimi niko mikoani,
Sema unaweza tafuta, vinaitwa.
The Secret Works of the Soviet Intelligence Agents.
New lies for old- Anatoliy Golitysn.
The deception of the Perostroika- Hiki kinaongelea mpango wa KGB na Andropov kuangusha USSR ili wamdanganye USA apeleke teknolojia yake kwao. Kimeandikwa na Soviet Defector Anatoliy Golitysn.
 
Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
kama ni mungu wa gwajima na wale maaskofu aliowahonga sawa hakuna anayekataa
 
Nabii wa Tanzania, Mungu azidi kukufanya upya, watanzania tunakuombea
 
Kwa ushahidi upi? Na huyo mtoto mdogo yupi? Kichwa kina kazi zaidi ya kufugia nywele mkuu.
Unajua mwanadamu akizeeka hurudi kama mtoto mdogo? Damian kisha zeeka kwa sasa hana tofauti na mtoto mdogo na ndiye anae jua kuwa Lowasa alishinda.
 
Mwambieni aje na maloli ya watu, watu wa mwanza hatuna muda wa kufatilia hizo kanjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…