Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Mengi yamejengwa kipindi cha Nyerere mwinyiya kama nilivyosema hapo juu boss..... sema ndio hivyo tu majengo ya mwanzo ya kawaida sana hayana mvuto at all...
hayapo kisasa
Mengi yamejengwa kipindi cha Nyerere mwinyiya kama nilivyosema hapo juu boss..... sema ndio hivyo tu majengo ya mwanzo ya kawaida sana hayana mvuto at all...
kidogo kwa sasa ndio naona majengo ya kisasa yanajengwa all in all mwanza ndio the second largest city in Tz....Mengi yamejengwa kipindi cha Nyerere mwinyi
hayapo kisasa
Weka Viashiria/vigezo Vitano (5) Ulivyotumia kuona/kujaji kwamba Mwanza Inadorora ktk Ukuaji wake....Wana JF
Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.
Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana
Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.
Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?
Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Ukubwa wa KM za Mraba bila content ni sawa na kichwa kikubwa akili ndogo,Arusha kuna mjigani wewe
Unaisikia Mwanza wewe
Rock city ndio jiji la pili kwa ukubwa Tanzania
he he hee.hii kaliUkubwa wa KM za Mraba bila content ni sawa na kichwa kikubwa akili ndogo,
Hahaha haya bwanaUkubwa wa KM za Mraba bila content ni sawa na kichwa kikubwa akili ndogo,
Bora umewambia kaka utawakuta wanajisifu arusha kubwa kuliko mwanza kumbe ni hovyoooo tu jiji lenyewe chafu kama umefka kibiti
HUJAELEWA POINT NA BANDIKO LA JAMAA.Naona hii Changamsha kijiwe tu
Ref Geneva of Afrika ni wapi?
Maajabu ya dunia Ngorongoro Crater
Shifting sand/sand dunes
Nyayo za mtu wa kale.
Arusha National park
Tarangire nationa park
Ngorongoro conservation Area
Hot Springs
Super highway
Umetoka Arusha mjini mpaka Ngorongoro wewe
Umetoka Arusha mjini mpaka Monduli
Umetoka Arusha mjini mpaka kwa Mrombo
Ila wote sisi Watanzania na mwl Nyerere alisema tuwaogope sana watu wanaotaka kutugawa kwa vigezo vya makabila,kimkoa...nk
Vipi Mbeya ulitembelea?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Baada ya kupiga hela za makinikia huku kanda ya ziwa niliamua niende zangu kaskazin nikatulie kidogo huku nikiponda raha, nilikuwa na mtoto mkali sana mrefu mweupe
Safari yangu ilianza nikapanda bombadia ya anko magu had kia, Baada ya kufika kia nilichukua usafir wa moja kwa moja had arusha, baada ya kufika arusha sikuuamin macho yangu
Kimkoa ni kidogo sana na watu wake hawana uelewa kwa baadh ya mambo ingawa wanajifanya ni watu wanaoish maisha ya kuigiza igiza
Unatembea kilomita tano tiar umemaliza mkoa mzima siyo kama mwanza ambayo inabid utembee zaid ya kilomita 50 ndo umalize mji
Kwa kifup arusha inabebwa na promo haina kitu kabisa
Level za arusha ni iringa na moro na dodoma
Kulinganisha kimkoa cha arusha na jiji kubwa kama mwanza ni kuchuma zambi za bure na ni tiket ya kwenda moton moja kwa moja
Mwanza is the best
NANYUPU
NDIO SHDA YA HELA ZA KUUZA NG'OMBE MUDA WOTE UNAJIFUNGIA NDANI UNAOGOPA KUIBIWA.ULISHIA USARIVER MSUKUMA WA WATU UKARUDI[/QUOTE
Ha,ha,haaaaa!