Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

Mwanza imelemaa baada ya samaki kuisha na madini kukabidhiwa wazungu
 
Aha, classmate wa bashite..! Hebu tuambie ilikuwaje akapata zero, na wewe ulipata zero ukafoji vyeti??
Au wewe ndiye bashite mwenyewe...??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hujitambui
limesha buma hilo
 
Wana JF

Sina lengo laku pambanisha Mwanza Vs Arusha ila kiukweli nashindwa kuelewa nini kimeisibu Mwanza.

Mwaka 2002 Nikiwa shuleni Mwanza nilijiona kama nipo Dar ndogo.Mwanza ilikuwa motoMambo yalikwenda faster mji ulikua unakua kwa kasi sana

Nilikuwa nikiamini kufikia 2015 jiji la Mwanza litakuwa la mfano kwa ukuaji wake cha ajabu na kushangaza Arusha ndio inakuja faster huku Mwanza ikidorola kama mtoto mwenye utapia mlo kulikoni.

Tatizo nini Mwanza?Kama kuongozwa imeongozwa na CDM muda mzuri tu kwanini Haipai kwa kasi ilee!?

Nashindwa hata kulinganisha Mwanza VS Arusha maana Arusha kwasasa ipo moto vibaya kama hali itaendelea kuwa hivi tutegemee Arusha kuwa ndio jiji la pili kwa ukubwa Mwanza inakuja kupitwa na Dodoma itanikera sana.
Ausha hata Dodoma inaizidi sembuse Mwanza?
 
Kaskazini ? Kamwe hatatoka mfalme huko hadi mwisho wa dahari. Mijitu hii inawaza ukanda na ukabila tu.
 
Nipo Mwanza yaani hakuna kitu kabisa na sielewi zilitumika criteria gani kuupa hadhi ya Jiji huu Mkoa. Mjini kati tuu kuna nyumba kibao za mbavu za mbwa tena za kutisha mno,wananchi wake washamba sana,hiace zimechoka vibaya mno hakuna hata coaster za wasafiri,pyuuu.
 
Upimwe akili sio bure
 
We should have to think maendeleo ya nchi nzima ....sio kieneo kimoja
 
Nipo Mwanza yaani hakuna kitu kabisa na sielewi zilitumika criteria gani kuupa hadhi ya Jiji huu Mkoa. Mjini kati tuu kuna nyumba kibao za mbavu za mbwa tena za kutisha mno,wananchi wake washamba sana,hiace zimechoka vibaya mno hakuna hata coaster za wasafiri,pyuuu.
Kwani kariakoo nyumba za mbavu za mbwa hazipo? Unapolinganisha miji au majiji unatumia vigezo vipi?
 
Arusha kwa majengo ya kisasa imeipiku mwanza mbali sana.....thou ni Mji mdogo kwa ukubwa......

But mwanza ina majengo ya kawaida sana ukilinganisha na Arusha thou mji umetanuka sana mwanza ni kubwa kuliko arusha.....
 
Arusha kwa majengo ya kisasa imeipiku mnza mbali sana.....thou ni Mji mdogo kwa ukubwa......

But mwanza ina majengo ya kawaida sana ukilinganisha na Arusha thou mji umetanuka sana mwanza ni kubwa kuliko arusha.....
Arusha majengo mengi ni Mahotel
Na kwasababu ya Utalii kanda ile
lakini Ukubwa wa mji na idadi ya Majengo
Mwanza ipo juu
 
Back
Top Bottom