The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,545
- 5,213
mbona sasa hawakuzileta hizo roads mwanza kwakuwa ni jiji la pili kama ulivyosema...hizo roads za arusha ingawa vifinyu kajenga nani?! au mlichangisha kwa balozi mkanunua lami mkazijenga?!
mbona sasa hawakuzileta hizo roads mwanza kwakuwa ni jiji la pili kama ulivyosema...hizo roads za arusha ingawa vifinyu kajenga nani?! au mlichangisha kwa balozi mkanunua lami mkazijenga?!
mbona sasa hawakuzileta hizo roads mwanza kwakuwa ni jiji la pili kama ulivyosema...
ok Arusha ni kimji cha kipuuzi kama usemavyo.......bunge lilipitisha ziende arusha na hata mwanza ilipitishiwa nyingi zaidi, lakin hiz za uhuru na muungano hazipo kwenye bajeti ya serikali hivyo basi zikatolewa kwenye mambo ya kipuuzi na kuletwa kwenye mambo ya msingi ya ujenzi wa barabara za miji hii mikuu miwili ya tz, ujinga ingekuwa kuzitoa kwenye mambo ya kipuuzi ya sherehe na kuzipeleka kwenye ujezi wa vimiji vidogovidogo vya kipuuzi kama arusha, ila serikali iliona hilo ndo
maana haikufanya
Ndizo favour za kiserikali pia, makampuni kibao na mashirika ya kifedha kama nssf, nhc n.k wanajenga satellite city zao Arusha ila mwanza inajengwa na wazawa na bado it is far ahead of Arushaok Arusha ni kimji cha kipuuzi kama usemavyo.......
ila kumbuka jiji la Arusha lina heshima yake kwa taifa na EAC kwa ujumla hivyo basi sipo hapa kwaajili ya kukubali kwamba jiji hili ndo best kushinda lile ila niko hapa kwaajili ya heshima iliyopo kwa jiji la Arusha....na heshima hiyo mwanza hakuna......ukweli ndo huo!
nilichokua nakijibu ni sababu za kuhusu pesa za sherehe za muungano kupelekwa mwanza nadhani umeninukuu vibaya!..Ndizo favour za kiserikali pia, makampuni kibao na mashirika ya kifedha kama nssf, nhc n.k wanajenga satellite city zao Arusha ila mwanza inajengwa na wazawa na bado it is far ahead of Arusha
We si ndio umesema wanajenga wazawa wa Arusha, EAC imetokea wapi tena...?!ok Arusha ni kimji cha kipuuzi kama usemavyo.......