Ni kweli kabisa ,dar ni lango la uchumi ...lakini now inaelekea kuwa mlango wa nyuma ,maana milango mingine inazidi kufunguka.sababu zinazoweza kuifanya dar ipitwe na mwanza ni hizi

1 :mwanza kuwa hub ya biashara Africa mashariki,pale mwanza itakapojengewa miundombinu Bora ya kuunganisha na miji ya nchi zingine za maziwa makuu..
2 : uwekezaji mkubwa katika sekta ya madini .almasi misungwi, dhahabu sengerema .
3 uwekezaji katika sekta ya viwanda.hasa agriculture based ,
4 fishing reform.mapinduzi katika sekta ya uvuvi na samaki (sangara pekee walichangia export ya asilimia 90 ya mauzo ya samaki nje ya nchi .(bilioni 500). assume hapo Kuna uvuvi primitive je tukiwa na uvuvi modern itakuwaje .
5 ujenzi na uboreshaji wa uwanja wa ndege Mwanza hii itainyima dar wasafiri wa kimataifa Toka Kanda ya ziwa na mizigo ya samaki kwenda ulaya itaishia mwanza.
6 kugawa mikoa katika majimbo ...ziwe semi autonomous....hii itafanya resources nyingi zisipelekwe dar ziishie ndani ya mikoa