Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Samia akija mwanza atazindua nyegezi stand,ataweka jiwe la msingi daraja la juu akiwa mwanza atawaagiza wizard ya ujenzi wapanue barabara za mwanza
Kitakachomleta Samia ,,,ni uzinduzi wa meli , jiwe la msingi soko kuu, uzinduzi wa stendi.ukiangalia stendi ni asilimia 98,meli asilimia 74,soko kuu ni asilimia 73
 
_20221020_221237.JPG

Sekou toure RRH.
 
HEKO RAIS SAMIA KUTEKELEZA FALSAFA YA KAZI IENDELEE JIMBO LA NYAMAGANA KWA VITENDO

Kwa niaba ya Mhe Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la NYamagana Bi. @official_florahmagabe_ironlady katibu wa Mbunge amepata fursa ya kumwakilisha Katika ziara ya Waziri Mkuu wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambaye amekuwa na ziara ya kikazi Mkoani Mwanza kwa siku tatu. Katika ziara yake kukagua Mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Mabasi Nyegezi ambacho kina gharamu Tsh 17BIL na kufikia 98% ya ujenzi wake.

Bi. Magabe amesema kuwa, Mhe Stanslaus Mabula pamoja na wana NYamagana wanafarijika Sanaa na Mradi huo sanjari na Mradi wa Ujenzi wa Soko Kuu. Hivyo pongezi nyingi ziende kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluh Hassan ambaye toka uongozi wake wa awamu ya Sita uingine madarakani Umejipambanua Katika falsafa yake Kazi Iendelee kwa vitendo

Uongozi wa awamu ya Sita umekuta mradi huo ukiwa chini ya 10% na Sasa umefikia 98% hii ni ishara tosha kazi inaendelea Na Katika kipindi chote fedha zimekuja na miradi naendelea. Kadharika amefafanua kuwa, Nyamagana Ina idadi kubwa ya wachuuzi hivyo mradi pacha wa Soko kuu utapunguza adhaa kwa wafanyabiashara wadogo kuwa na eneo Rafiki kwa kazi. Pia nimefafanua, Nyamagana imepokea fedha ingine kwaajili ya kuendeleza masoko ikiwemo Tsh 9BIL ujenzi wa Soko la mkuyuni ambalo litakuwa na tija katika mnyororo wa thamani kwa mazao ya Ziwani.

Hivyo amemuomba Waziri Mkuu amfikishie Mhe Rais Samia shukurani za dhati za wana Nyamagana sanjari na kufikisha pendekezo la Mhe Stanslaus Mabula kwa serikali kuangalia namna ambavyo itatoa fedha zingine kwaajili ya ujenzi wa Jengo Katika eneo la pembezoni mwa Kituo cha Mabasi Nyegezi ambalo ni Mali ya serikali na halihitaji fidia yeyote ili lijengwe Soko la kudumu kwaajili ya wachuuzi. Kwaniaba ya Mhe Mabula Bi @official_florahmagabe_ironlady amemuakikishia Waziri Mkuu Wana Nyamagana wana imani kubwa kwa serikali Yao kwa utekelezaji wa miradi mkakati na wataendelea kuiunga mkono kwa watatoa KURA nyingi uchaguzi wa serikali za Mtaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

@jimbo_la_nyamagana

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana
 
Naona mabula kamwambia pm pale nyegez stand panatakiwa pawe na soko la kisasa na amfikishie mh Raisi
 
Kitakachomleta Samia ,,,ni uzinduzi wa meli , jiwe la msingi soko kuu, uzinduzi wa stendi.ukiangalia stendi ni asilimia 98,meli asilimia 74,soko kuu ni asilimia 73
Kwasasa soko kuu lipo zaidi ya 80%
 
Kitakachomleta Samia ,,,ni uzinduzi wa meli , jiwe la msingi soko kuu, uzinduzi wa stendi.ukiangalia stendi ni asilimia 98,meli asilimia 74,soko kuu ni asilimia 73
Nasikia Meli inatakiwa kuingia kwenye maji mwezi November
 
Asilimia 80 mbona hawafuniki hilo roof zaid ya miez minne lipo hivyo hivyo
Kazi ya roof ni ndogo sana mkuu, hilo handaki la parking ndio kulikuwa na kazi kubwa, mnaweza kuzani kazi haifanyiki lakini hilo soko watu wanapiga kazi usiku na mchana na hilo soko lina gross floor area ya zaidi ya 28000m2 wakati stendi ya nyegezi ina gross floor area ya 9900m2 tu, na rock city mall ina gross floor area ya 32000m2, nataka kukuambia hilo soko si la kitoto kama unavyozani, kazi kubwa imefanyika na wapo hatua za mwizo kwenye floor kama kuweka talazo n.k.
 
Ukikompare na mwaka 2020 mwanza inakuwa Kwa ongezeko la trillion Moja Kwa mwaka .ni UKUAJI mzuri japokuwa tunatakiwa tuiovertake dar Kwa growth rate.ambao wao growth rate Yao ni trillion 2 ...
PSX_20221021_212333.jpg
 
Back
Top Bottom