Somaiyo
Senior Member
- Jul 1, 2022
- 103
- 187
Airport naona waziri kasema tathimin inafanyika waondokeChuki na mwanza imekuja baada ya magu kuwa Raisi watu walifikir anaipendelea mwanza kitu ambacho sicho issue ile ya bomoabomoa ya watu wa Karibu na airport ya mwanza magu alivyokataa wakat huohuo maeneo mengine kama kimara yanabomolewa kitu kingine ni ile issue ya machinga kuondolewa ondolewa mwanza had magu akaitisha kikao cha makamu wa Raisi na viongozi wengine machinga wasifukuzwe ni bora wauvunje uwanja wa nyamagana kuwa ya wamachinga

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app