Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Mbona kuna picha nyingi tu za stendi za mchana, hakuna kitu

,,,,,
...tumwulize Kitombile na intelligent man ,maana Hawa ni pro nyegezi.na wako hukoMbona kuna picha nyingi tu za stendi za mchana, hakuna kitu

,,,,,
...tumwulize Kitombile na intelligent man ,maana Hawa ni pro nyegezi.na wako hukoNyegezi sasa hv project za magorofa ni nyingi pale karibu na gbp wanajenga gorofa,karibu na nyabulogoya napenyewe hvyhvy
Mawili? 🤣Nyegezi sasa hv project za magorofa ni nyingi pale karibu na gbp wanajenga gorofa,karibu na nyabulogoya napenyewe hvyhvy
Ila watu wa nyegezi siwawezi, mnatuambia maghorofa yanaibuka kama uyoga nyegezi kumbe hamna kitu.
Maeneo yanayozunguka stendi Nyamhongolo iko Well organized kushinda Nyegezi.
Kwenye maandishi neno NYeGEZI
Hiyo herufi e taa zishakufa tayari.
Nilichopenda ni kuweka baadhi ya maduka kufungukia nje
Pro nyegezi...wanatuchanganya aisee...... nyamhongolo patakuwa good miaka ijayo ...ngoja Barabara ya tactics ya kwenda buswelu ikikamilikaMawili?![]()
ni kweli kabisa boss kwa ujumla hali ni nzuri sana na future ya mwanza ni nzuri sana kwa ujumla naweza kusema mwanza ni dar ndogo ya Tanania.Nyegezi sasa hv project za magorofa ni nyingi pale karibu na gbp wanajenga gorofa,karibu na nyabulogoya napenyewe hvyhvy
Unazungumza ukiwa mwanza sehemu ganni kweli kabisa boss kwa ujumla hali ni nzuri sana na future ya mwanza ni nzuri sana kwa ujumla naweza kusema mwanza ni dar ndogo ya Tanania.
Hahahah mi napatikana Mkolani maeneo ya pasword mkuu.Unazungumza ukiwa mwanza sehemu gan
Huo ni zaidi ya wivu ni roho mbayaSanki farasi ana wivu na mwanza
![]()
Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?
Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...www.jamiiforums.com
Nyegezi project ni nyingi za magorofa zinazoendelea, kama mtu alitaka magorofa kuzunguka stendi hapo ndio hamna, ila kuna project kama 10 za ujenzi wa magorofa(commercial buildings)
Watu wanataka adi waone cranes.Nyegezi sasa hv project za magorofa ni nyingi pale karibu na gbp wanajenga gorofa,karibu na nyabulogoya napenyewe hvyhvy
Na nyegezi baada ya miaka ijayo itakuwaje baada ya upanuzi wa kenyatta road?Pro nyegezi...wanatuchanganya aisee...... nyamhongolo patakuwa good miaka ijayo ...ngoja Barabara ya tactics ya kwenda buswelu ikikamilika
Huyo Sunk huwa anatatizo la afya ya akili anafananisha mwanza na kijiji cha Mbeya, Kwa ujumla watu wengi huwa wanachuki sana na Mwanza.Ila Mwanza haiepikiki maana ukuaji wake ni mkubwa sana.Huo ni zaidi ya wivu ni roho mbaya
Katika barabara 3 ya airport,nyerere na kenyata upande wa kenyata unakuwa sana kwa Kasi ya ajabu mnooNa nyegezi baada ya miaka ijayo itakuwaje baada ya upanuzi wa kenyatta road?
Kweli kabisa kiongozi.Katika barabara 3 ya airport,nyerere na kenyata upande wa kenyata unakuwa sana kwa Kasi ya ajabu mnoo
Ili jambo ni fikirishi ata mradi mkubwa ukiletwa Mwanza wataanza kuponda wakizani Mwanza inafanana na miji yao na wanaitaji kupata sawa na Mwanza.Huyo Sunk huwa anatatizo la afya ya akili anafananisha mwanza na kijiji cha Mbeya, Kwa ujumla watu wengi huwa wanachuki sana na Mwanza.Ila Mwanza haiepikiki maana ukuaji wake ni mkubwa sana.
Kwa ujumla Mwanza hapo ilipo ilishacheleweshwa sana mkuu, mfano kama Mwanza tokea mialka ya 70 ingekuwa na chuo kikuu kikubwa kama UDOM isinge kuwa tofauti na Dar, Pia unavoona watu walivyo na chuki na Mwanza mitandaoni pia ujue kuna watu hata kwenye mashirika kama NHC wanachuki sana na Mwanza ndo maana kila leo kuleta Mwanza miradi isiyo na kichwa wala miguu.Ili jambo ni fikirishi ata mradi mkubwa ukiletwa Mwanza wataanza kuponda wakizani Mwanza inafanana na miji yao na wanaitaji kupata sawa na Mwanza.
Chuki na mwanza imekuja baada ya magu kuwa Raisi watu walifikir anaipendelea mwanza kitu ambacho sicho issue ile ya bomoabomoa ya watu wa Karibu na airport ya mwanza magu alivyokataa wakat huohuo maeneo mengine kama kimara yanabomolewa kitu kingine ni ile issue ya machinga kuondolewa ondolewa mwanza had magu akaitisha kikao cha makamu wa Raisi na viongozi wengine machinga wasifukuzwe ni bora wauvunje uwanja wa nyamagana kuwa ya wamachingaKwa ujumla Mwanza hapo ilipo ilishacheleweshwa sana mkuu, mfano kama Mwanza tokea mialka ya 70 ingekuwa na chuo kikuu kikubwa kama UDOM isinge kuwa tofauti na Dar, Pia unavoona watu walivyo na chuki na Mwanza mitandaoni pia ujue kuna watu hata kwenye mashirika kama NHC wanachuki sana na Mwanza ndo maana kila leo kuleta Mwanza miradi isiyo na kichwa wala miguu.