Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Pesa ni ile ile ipo fixed trilion 3+ sio mchezo mkuu kwa 341km, yule mturuki hakuwa na station bora lakin mchina atajenga station nzuri kama michoro inavyoonesha๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Wanajengea pale pale ilipo stations ya sa hv ?
 
Yes, patawaka sana na lile Scraper la NSSF ndio usiseme, watabakia TEMESA na ofisi zao chakavu. Wasiwasi wangu ni kukosekana eneo la parking kwa ajili ya Daladala na Tax/ Bajaj. Najua traini huwa inatema kijiji. Na lile eneo lilivyokaa kistaarabu.
 
nazani Parking itakuwepo pale pembeni au wataweka underground parking.
 
Kaka hayo aliyoongea ni mawazo yake tu, daraja la juu ni package ya kwenye upanuzi wa barabara, sasa atawekaje jiwe la msingi wakati barabara haijaanza kujengwa?
hapo na mimi nilishangaa ilo daraja la juu si ndio sgr ambayo tayari alishaizindua, kama anakuja kwaajili ya uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi wa upanuzi wa barabara ya kenyatta road itakuwa ni jambo jema sana.
 
Kwenye bajeti ya serikali hakuna hela ya ujenzi wa barabara ya Kenyatta labda tusubiri bajeti ijayo
 
Back
Top Bottom