intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Ya mwanza mjini design cjaipenda kabisa pale barabara ya kwenda nyakato pia watajenga daraja la juu kwan ni junctiomView attachment 2390902
Stesheni ya Fela ni kubwa kuzidi ya Morogoro
Ya mwanza mjini design cjaipenda kabisa pale barabara ya kwenda nyakato pia watajenga daraja la juu kwan ni junctiomView attachment 2390902
Stesheni ya Fela ni kubwa kuzidi ya Morogoro
Barabara gan ya kwenda nyakatoYa mwanza mjini design cjaipenda kabisa pale barabara ya kwenda nyakato pia watajenga daraja la juu kwan ni junctiom
Huyu majaliwa anaupiga mwingi sana mwanzaTuhamie fela jamaniView attachment 2390995
Hyo inayopitia mkuyuniBarabara gan ya kwenda nyakato
Au Nyakilang'ani?Nimeona bango la mkandarasi anaejenga barabara za kuingia na kutoka stand ya nyegezi anajina gumu anatoka Bunda 😄😄😄😄
Umeni-pre empty kaka, wazo zuri sanaTanroad wanatakiwa kuchekecha akili, hii ya barabara kuanzia mkuyuni sio sawa kabisa.
Kama wanaogopa kuvunja nyumba basi wafanye hivi:
Barabara huwa sio lazima zije zimeongozana zote njia nne pamoja, nashauri zitawanyikie pale voil, njia mbili za kuingia mjini zipite chini upande wa ziwa sambamba na reli mpaka stesheni, njia mbili za kutokea zitumie Kenyatta Road.
Tena hapa wanaweza weka njia tatu tatu
Na modern sana kuzidi station zote zilizojengwa except ya dsmView attachment 2390902
Stesheni ya Fela ni kubwa kuzidi ya Morogoro
Morogoro inabeba watu wangapi?View attachment 2390902
Stesheni ya Fela ni kubwa kuzidi ya Morogoro
Wanahela ya kufanya hvy?Hivi kwann Songoro marine wasijenge Headquarters yao ata ya 20f
Twenty floor.inakuwa jengo la biashara sasa .......SIO HQ tuHivi kwann Songoro marine wasijenge Headquarters yao ata ya 20f
Watu wa mwanza tunataman . majengo makubwa marefu lakini miji ya ulaya Ina majengo mafupi lakini yanavutia na kupendezaHivi kwann Songoro marine wasijenge Headquarters yao ata ya 20f
Kwa project anazopiga za serikali anakosaje hiyo pesa, pia kule baharini ana project mpaka za kimataifa.Wanahela ya kufanya hvy?
Hili dude liko too classic, wajitahidi hata mazingira yanafanie vile yalivyo kwenye render. Hii ni art of architecture ya majabali ukiicheki kwa kina.