Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Hata mimi nilishaandika humu inakuwaje bajeti iwe bilion39 lakini pesa zilizoletwa ni 19 bilion je zingine zipo wapi au ni ujenzi wa hawamuBajeti ilikuwa 37b sasa tunajengewa chuo cha 19b
Hata mimi nilishaandika humu inakuwaje bajeti iwe bilion39 lakini pesa zilizoletwa ni 19 bilion je zingine zipo wapi au ni ujenzi wa hawamuBajeti ilikuwa 37b sasa tunajengewa chuo cha 19b
🔥🔥🔥Yes sanaaaView attachment 2385102
Ishu ya mirad ya mwanz kuhujumiwa imekua jambo la kawaidsan sa sjui inaonekn ipo mbal san au wanaon watu wa lakezone wakion ata icho kido watafuraiBajeti ilikuwa 37b sasa tunajengewa chuo cha 19
N chache kulinganish na Mza mwanz n km dar kwamba kila seem kun centre na hudum zote tofaut na dom lazma watu wamove kwend town au city centre bado kun hapo kautamadun japo taratbu ndo wanabadilk kidogoDodoma..maframe yapo . nkuhungu,mnada Mpya ,maili mbili ,kisasa ,mkonze
Afu hao tarula ndo wanajenga izo barabr za kuzunguk stend ya nyegez piaHahaahhaha umesahau kwamba tarura ni wabongo, toka lini uliona mbongo akakufanyia kitu standard! Kila mtu anawaza upigaji Hadi mtunza store
Njia nne izo barabr muhmu na kuu za kuingia na kutok zitajengwa japo kwa kuchelew na zinaez kuanz kujengw 2024 au 25 navowaz hususan baad ya daraja kukamilk coz io ilipangwa coz darj litaruhus Magar meng kupit kwend town lazma Jam...japo n kwel ilitakiw zianze kujengw sas ili daraj likikamilk likute na njia zote tayar ila ndo ivo madai haziwez kutolea pesa kote kote na kwen darj na njia nne wanajeng kw awamu lkn pia mambo ya kisias haypo mbal km mnavojua nchi yetu na viongoz wake lazm iwe part ya kura...haya maguful hakuyataknjia nne Usagara to town-billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150
Daraja la busisi lisingejengwa ...pesa zake zingetosha kujenga hyo miradi![]()
Sjui wanasubil nn mpka saiz hawajaanz kujenga wanadai washatenga fedha na mvua ndo zimeanza na makmu wa rais aliwagiza wajenge soko la wamachinga mara moja bt n km wamemaliz nothing goes onNyamhongolo wakijenga pale kwenye matope halafu ile barabara ya buswelu ikapigwa Lami patakuwa pazur sana
Hebu ongelea barabara za tarura kwa ufupiAfu hao tarula ndo wanajenga izo barabr za kuzunguk stend ya nyegez pia
Nkupongez umewaz vzur ila nje ya dar pia mwanz ndo jiji kubw kwhio litakua na uitaj mkubw kulingan na ukubw wake afu pili hilo daraj ukiangalia me jicho la kawaid utaon n la kawaid ila n muhmu san lkn pia ilo daraj I inshu ya mkoa sio city council city counci nayo una maitaj yke ata ivo Ilo daraj lilijengw kwa kufoc na mzee bab tu izo gharam zisngetok tu kw kiongoz mwngne nakkmbuk kikwete alitak kujeng ila sio kwa fedha za nch bal kutok nje wakakaz kua hawatowez hawatounfaika ila Jpm amefoc city ving vifanyike kw harak bil kutk kutegmea nje tatu ivo vtu vingejengw kw pmoj badal ya daraj ungeonekn ameend kujeng kwao tu nchi imehamia mwanz ivo vtu lazm vijengwe kwa awamu na kutegmea pesa iliopo na mgawanyo wa fedha nchin....lkn ata ivo izo barabr zingejengw harak zaid km th kungekuw na Jam san ila kua honesty hamn jam ivo inavoongelew ndo kitu kikubw jpokua n vzur kua na plan as badae sio lazma jam ila sera ya nch yetu ina idad ya magar yanayopita kwen njia ili ipanue barabr...ukiend dar unaon kwel kun umhum wa kupanua njia fulan n jam kwel bro sera zetu zilivo ndo maan Jpm alikua tofaut coz alifany nje ya hayo mawazo coz alion n kuchelewesh maendeleoNimeona watu mnalalamika . mwanza tunaonewa kwenye miundombinu..vipi hii miradi mikubwa ni gharama ghani imetumika .
daraja la busisi bilion 700
meli bilioni 70
......nje ya dar hamna jiji jingine lilipewa fedha za maendeleo kuzidi mwanza ..
Kwa hyo tulitakiwa tuchague ,, billion 700 zisijenge daraja zijenge vifuatavyona hela ingetosha fresh
njia nne Usagara to town -billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150
Mzee hyo barabara ina jam balaa hasa mida ya asubuh na jion daraja likikamilika na kuanza kutumika unafkr hyo jam itakuaje hv barabara ya arusha to tengeru inaizid hii ya kenyata kuwa na jam mbn ina njia nneNkupongez umewaz vzur ila nje ya dar pia mwanz ndo jiji kubw kwhio litakua na uitaj mkubw kulingan na ukubw wake afu pili hilo daraj ukiangalia me jicho la kawaid utaon n la kawaid ila n muhmu san lkn pia ilo daraj I inshu ya mkoa sio city council city counci nayo una maitaj yke ata ivo Ilo daraj lilijengw kwa kufoc na mzee bab tu izo gharam zisngetok tu kw kiongoz mwngne nakkmbuk kikwete alitak kujeng ila sio kwa fedha za nch bal kutok nje wakakaz kua hawatowez hawatounfaika ila Jpm amefoc city ving vifanyike kw harak bil kutk kutegmea nje tatu ivo vtu vingejengw kw pmoj badal ya daraj ungeonekn ameend kujeng kwao tu nchi imehamia mwanz ivo vtu lazm vijengwe kwa awamu na kutegmea pesa iliopo na mgawanyo wa fedha nchin....lkn ata ivo izo barabr zingejengw harak zaid km th kungekuw na Jam san ila kua honesty hamn jam ivo inavoongelew ndo kitu kikubw jpokua n vzur kua na plan as badae sio lazma jam ila sera ya nch yetu ina idad ya magar yanayopita kwen njia ili ipanue barabr...ukiend dar unaon kwel kun umhum wa kupanua njia fulan n jam kwel bro sera zetu zilivo ndo maan Jpm alikua tofaut coz alifany nje ya hayo mawazo coz alion n kuchelewesh maendeleo
Yeah iyo ina jam ndo maan nilsem daraj likikamilk lazm zijengwe tu coz magar yataongezek...Afu ya sakin tengeru ilikua na Jam san tok mda kabl haijapanuliw kulko iyo coz pale ile ina magar meng san pmoj na malor ya kutok kenyaa yanatumia njia ile lkn pia mzguko wa kila siku mosh to arush uliifany iwe bize sanMzee hyo barabara ina jam balaa hasa mida ya asubuh na jion daraja likikamilika na kuanza kutumika unafkr hyo jam itakuaje hv barabara ya arusha to tengeru inaizid hii ya kenyata kuwa na jam mbn ina njia nne
Unajua watu wa lake zone hajaw exposed san km nothern zone kumilk magar sio kiupambele san ila kule wenzetu mpka vijan wadog wana mgar wanawake na wazee ila zone yetu sio kiupambel san ndo maan shy town hukut magar san wal musom kwhio n mpka uanze kuingia mwnz town buhongw kuanzia pale ndo unaanz kufeel Jam kitu ambcho ukisafir mosh to arush n jam mwnzo mwshoMzee hyo barabara ina jam balaa hasa mida ya asubuh na jion daraja likikamilika na kuanza kutumika unafkr hyo jam itakuaje hv barabara ya arusha to tengeru inaizid hii ya kenyata kuwa na jam mbn ina njia nne
Hizo ni taa za solar😂😂😂Nyegezi mna matumizi mabaya ya umeme, stand iko tupu taa kama zote😂😂
Afu hao tarula ndo wanajenga izo barabr za kuzunguk stend ya nyegez pia
Aisee nyegez uck inawaka balaa 😄😄😄Hizo ni taa za solar😂😂😂
pale wajenge jamvi gumu kama ile ya nyamhongolo
Solar si ni hizo za kwenye nguzo pekee ambazo ni haki yake ziwake usiku, naongelea za ndani ya jengoAisee nyegez uck inawaka balaa 😄😄😄