Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Ndio hivyo ..Hadi katiba ibadilikeTiba ni serikali za majimbo, huu ujinga wa kuamini kila kitu lazima kiwepo dar utaisha la sivyo mapato ya sehemu nyingine yataenda Dar kama ilivyo hapo.
Ndio hivyo ..Hadi katiba ibadilikeTiba ni serikali za majimbo, huu ujinga wa kuamini kila kitu lazima kiwepo dar utaisha la sivyo mapato ya sehemu nyingine yataenda Dar kama ilivyo hapo.
Ili kila jimbo liweke mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara, pia kuwezesha sector za umma na za private.Ndio hivyo ..Hadi katiba ibadilike
Wasogeze ama watoe kabisa maana naona eneo kama ni dogo sana pale,kushoto kumepakana na kamanga medicsLeo mkuu wa wilaya ya nyamagana na kamati yake walikuwa stand ya nyegezi Moja Kati ya vitu alivyosema ni kuwa pale magari yanaposimama kama unaenda mjin wanapaita kituo cha stand ya zaman watajenga stand ya daladala so wale wenye vibanda wameambiwa wasogeze vibanda vyao pia Sasa hv jamaa pale stand wanapiga kaz sana had uck huu wazur mkuu akija akute mambo yapo sawa
Wasogeze nini? Nawatoe nini? Wengine hatujaelewa tunaomba ufafanuzi.Wasogeze ama watoe kabisa maana naona eneo kama ni dogo sana pale,kushoto kumepakana na kamanga medics
Nilisema Toka zamani...mradi wa nyegezi utakuwa ni WA hovyo kuliko nyamhongolo ...imagine mtu unashuka kwenye bus unatembea umbali wote huo kwenda kupanda daladala.kwan daladala haziwezi kupita ndani ya stendi .....just imagine huo usumbufuLeo mkuu wa wilaya ya nyamagana na kamati yake walikuwa stand ya nyegezi Moja Kati ya vitu alivyosema ni kuwa pale magari yanaposimama kama unaenda mjin wanapaita kituo cha stand ya zaman watajenga stand ya daladala so wale wenye vibanda wameambiwa wasogeze vibanda vyao pia Sasa hv jamaa pale stand wanapiga kaz sana had uck huu wazur mkuu akija akute mambo yapo sawa
Huu ndio utaratibu mpya mkuu, je daladala hazitaruhusiwa kuingia stendi ya nyegezi?Nilisema Toka zamani...mradi wa nyegezi utakuwa ni WA hovyo kuliko nyamhongolo ...imagine mtu unashuka kwenye bus unatembea umbali wote huo kwenda kupanda daladala.kwan daladala haziwezi kupita ndani ya stendi .....just imagine huo usumbufu
Na tatizo.ndo linaanzia hapa kuwa serikali linawachukulia machinga kama useless..kwani ndani ya majengo ya stendi hawawezi kujenga wing ya machinga ..kuliko kujenga commercial wings wakati hata wapangaji ni wachache Kwa sababu ni gharama..assume umetenga wing ya mabenki manne nyamhongolo....jiulize una uhakika na unawezaje kuzishawishi benk zikawekwa branch zao stendi..banks ni biashara sio siasa...lakin kama wangejenga machinga wings wangepata wapangaji wengi Kwa sababu ndio wadau wakubwa wa stendi kuliko hayo masupermaketWanatakiwa wakiamua kujenga stendi wajenge na hizo frame za maduka kuliko kuacha watu wsjijengee kila mtu kwa style yake.
Sasa kama wanajenga stendi ya daladala pembeni hapo ...Kuna haja Gani ya daladala kuingia stendi.Huu ndio utaratibu mpya mkuu, je daladala hazitaruhusiwa kuingia stendi ya nyegezi?
Umesema vema kabisa, machinga wing/complex ni kitu kizuri kwenye mastendi na sehemu zenye watu wengi.Na tatizo.ndo linaanzia hapa kuwa serikali linawachukulia machinga kama useless..kwani ndani ya majengo ya stendi hawawezi kujenga wing ya machinga ..kuliko kujenga commercial wings wakati hata wapangaji ni wachache Kwa sababu ni gharama..assume umetenga wing ya mabenki manne nyamhongolo....jiulize una uhakika na unawezaje kuzishawishi benk zikawekwa branch zao stendi..banks ni biashara sio siasa...lakin kama wangejenga machinga wings wangepata wapangaji wengi Kwa sababu ndio wadau wakubwa wa stendi kuliko hayo masupermaket
Mbona daladala zitakuwa zinashushia mbali, tena tuanze kutembea kuifata stendi?Sasa kama wanajenga stendi ya daladala pembeni hapo ...Kuna haja Gani ya daladala kuingia stendi.
Tatizo tunajenga stendi Kwa kuigana ... wadau wa stendi tunawaexclude ... stendi ya dodoma Hadi leo haina wapangaji tofauti na mawakala ,na migahawa micahche ,njoo mbezi ni the same .....tunashindwa kuandaa miradi Kwa kutumia participatory frame work ,,,,ndio hizi hasara ....wadau wakubwa wa stendi Africa ni mama ntilie ,machinga ,na wafanya biashara wa kati .....unapotarget banks , supermarket, stendi unakuwa ni kama unapoteza funds ..... however sikatai hata benki zinaweza kupanga lakin lazima tuangalie return ya Mradi ndani ya wakati ...........Umesema vema kabisa, machinga wing/complex ni kitu kizuri kwenye mastendi na sehemu zenye watu wengi.
Ndio terminal yenu ...hyo .. nyamhongolo wakijenga eneo la daladala..mtakubaliMbona daladala zitakuwa zinashushia mbali, tena tuanze kutembea kuifata stendi?
Nilicho maanisha kua machinga sehemu ya kusogeza mabanda yao hayapo maana kumebana sana, nyuma ya vibanda kuna soko ,kushoto kule kuna kamanga medicsWasogeze nini? Nawatoe nini? Wengine hatujaelewa tunaomba ufafanuzi.
Yeap hapo ipo sehemu nzurHapo sio mbali wazee nyegezi ina mageti ya kuingilia mengi ukishuka na daladala unavuka barabara unakutana na geti la kuingia stand
Relini tena?Kuna kiwanja changu kipo mwanza mkolani lelini pale nakiuza kama unahitaji nicheki dm yangu ukapaone
Kipo barabarani kabisa
Point sana hii.Tatizo tunajenga stendi Kwa kuigana ... wadau wa stendi tunawaexclude ... stendi ya dodoma Hadi leo haina wapangaji tofauti na mawakala ,na migahawa micahche ,njoo mbezi ni the same .....tunashindwa kuandaa miradi Kwa kutumia participatory frame work ,,,,ndio hizi hasara ....wadau wakubwa wa stendi Africa ni mama ntilie ,machinga ,na wafanya biashara wa kati .....unapotarget banks , supermarket, stendi unakuwa ni kama unapoteza funds ..... however sikatai hata benki zinaweza kupanga lakin lazima tuangalie return ya Mradi ndani ya wakati ...........
Cha kushauri inabidi wananchi waelimike sasa kutoka kuamin kuwa machinga ndio sehemu pekee naweza pata vitu cheap Hadi kuanza kununua supermarket na kufanya miamala ya kibenki
Ilemela wakijenga parking ya daladala hakika itakuwa stendi bora ya pili Tanzania baada ya mbezi louis(Magufuli).Ndio terminal yenu ...hyo .. nyamhongolo wakijenga eneo la daladala..mtakubali
😂😂😂 utashikishwa hizo ni reserve za TRC, natania bhana.Relini tena?