Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Miradi ya serikali huwa haiaminiki, kun project fulani kabla ya tactic kwasasa nayo ilikuwa chini ya world bank ilitusaidia kupata barabara ya mwaloni, sabasaba na ya mji mwema, nyamagana walipata barabara za mjini kati, ujenzi wa dampo buhongwa na ujenzi wa madaraja ya kisasa mjini kati.
Huo mradi ulikuwa inaitwa strategic city development project..ulilenga majiji ya kimkakati tu ...ndio walijenga barabara nyingi pale mjini
 
Hapa ndo tatizo lilipo, nasikia story zamani Tanga lilikuwa jiji kubwa tu, kimasihara tu ukageuka kuwa mji wa ajabu ajabu hata Mwanza isipo jipanga dodoma can come and take over, Arusha wanaangushwa na stand lakin barabara wanajitahidi tu, maji ni 24/7 everywhere, sisi ni mwanza ni wengi lakini resources zetu ni very limited na unakuwa unaona kabisa hamna mpango wa kuziboresha licha ya kuwa na wingi wa watu

Tusidanganyike watu binafsi kujenga majumba mazuri, concern yetu iwe kwenye miundombinu iliyo bora, ubora na uzuri wa miundombinu ndio ubora na uzuri wa mji

Umeongea Kwa uchungu kaka ...lakin tambua tu , don't underestimate future ya mwanza,,,kila mji una matatizo yake ,na matatizo ya mwanza hayawezi kuisha siku moja .... mbona mwanza miundombinu inajengwa.tusiwe watu wa kulaumu sana tuwe watu wa kudetermine challenge na kuzitafutia ufumbuzi .
 
Chanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sana
Butimba imejengwa Kwa watu wa pembeni mwa mji ambao ni karibu laki 4 ....hao wengine waliobaki wanahudumiwa na chanzo cha capripoint .
 
Hata zikijengwa unaabiwa hii ni ya tarura, hao tarura wenyewe sasa wanavyojenga barabara unaeza ukasema hivi hawa watu Wako serious kweli!? Yani wanapigwa Yale ma diesel tu sijui ma bitumen halafu wanamwaga makokoto makubwa makubwa , mvua ikija kokoto zinasombwa hapo sahau kuhusu maintanace
TARURA wanazingua sana,,,,hizo lami zao ni za mchongo . kabisa
 
Ile road ndo inataka kunifanya nihamie kiseke, mtu huezi toka ndani umependeza unapiga hatua mbili tatu Kama umevaa kiatu cheusi kinakuwa brown.. ya nini kujitesa na tunaishi mara moja, yani mtu wa dodoma alie vumbi na Mimi wa Mwanza nilie vumbi
Hamna mji Tanzania usio kuwa na vumbi ,we hujakaa dodoma ukaona shida waliyo nayo
 
Butimba imejengwa Kwa watu wa pembeni mwa mji ambao ni karibu laki 4 ....hao wengine waliobaki wanahudumiwa na chanzo cha capripoint .
Hv buhongwa,kishiri,igoma,usagara,kisesa,fela,isangijo,ihayabuyaga,lwanhima,mhandu,nyashishi hzo sehemu hazizid watu laki 4?
 
Nimeona watu mnalalamika . mwanza tunaonewa kwenye miundombinu..vipi hii miradi mikubwa ni gharama ghani imetumika .
daraja la busisi bilion 700
meli bilioni 70
......nje ya dar hamna jiji jingine lilipewa fedha za maendeleo kuzidi mwanza ..

Kwa hyo tulitakiwa tuchague ,, billion 700 zisijenge daraja zijenge vifuatavyo na hela ingetosha fresh
njia nne Usagara to town -billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150
 
njia nne Usagara to town-billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150

Daraja la busisi lisingejengwa ...pesa zake zingetosha kujenga hyo miradi
 
njia nne Usagara to town-billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150

Daraja la busisi lisingejengwa ...pesa zake zingetosha kujenga hyo miradi
Hv kigongo busisi Hadi sasa limefikia asilimia ngap
 
Basement parking.nyamhongolo stendi
1665583113202.jpg
1665583095900.jpg
 
Back
Top Bottom