Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
Sura ya jiji ni ilemela na nyamagana... huwezi kusema mwanza jiji . ilemela isiwemo ..na ndio maana nimesema bado Kuna mgogoro wa namna Gani ya kuiita halmashauri inayosimamia nyamagana...jina inatakiwa iiitwe nyamagana municipal council.lakin changamoto ilionekana kuwa kama tutaita hv bas kwenye orodha ya majiji mwanza haitakuwemo ..ndipo waliazimia ibaki tu na Hilo jina la zamaniMaendeleo ni kama Mwanga Boss, Jiji haliwezi ng'arishwa Ilemela ikabaki imepauka. Nimegusa Metropole kwa sababu ndio taswira ya JIJI.
... nyamagana ndio jiji tangu Lin ... nyamagana haina sifa za kuwa jiji ...


