Rajab Endless
Senior Member
- Oct 2, 2019
- 121
- 167
Hivi hii barabara ya Kona ya bwiru, Nyansaka hadi Buzuruga alijenga nani? Najua kipindi inajengwa tarula ilikua bado haijaanzishwa...Napenda barabara za world bank tu sijui miradi ya tarura huwa haziniporezea muda najua baada ya week au mwezi ni mashimo.
