Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
pia barabara kutoka mahina Kati had bugarika kupitia igelegele
 
Nyamagana yakiboreshwa haya mambo yatakuwa mazur kwny barabara
1.barabara njia nne had usagara
2.buhongwa had igoma
3.mkuyuni had nyakato
4.buhongwa Hadi bukumbi had bulale
5.zile barabara za mwananchi had mahina Kati kuna barabara nyingi za vumbi ingawa makazi ni mazuri
Barabara za ilemela
1.njia nne kutoka mjini had nyanguge
2.Airport had nyanguge had kisesa
3.kahama had Tx
4.kahama to ilalila had sangabuye
5.buswelu had nyamhongolo
6.buswelu had igoma kiwanda cha coca
7.ibanda ziwan iungane na barabara ya mwaloni
8.barabara za kirumba za vumbi za muhimu zipigwe Lami
9.barabara za buswelu mjini zipigwe Lami baadhi
I wish wawe wanaona haya Mambo hata Kama zote huwezi kuzifanya kwa mara moja basi Jenga chache chache zenye quality, sio zile za tarura zile ni uchafu uchafu kabisa
 
N idea nzur san shid kw hii serkal sas mmh n km ndoto tu kwanz mirad mpka ianze n shida kumalizik pia I inshu nyingne inachukua mda san kw visingzio viing mirad tu ilioachwa na maguful mpka leo iliokua ikamilke haijakmilk sjui iyo itaish lin japokua kuanz lin haijulkan pia...
 
Mzee baba angemaliza mda wake mwanza ingekuwa kama paris aisee
 
Hata zikijengwa unaabiwa hii ni ya tarura, hao tarura wenyewe sasa wanavyojenga barabara unaeza ukasema hivi hawa watu Wako serious kweli!? Yani wanapigwa Yale ma diesel tu sijui ma bitumen halafu wanamwaga makokoto makubwa makubwa , mvua ikija kokoto zinasombwa hapo sahau kuhusu maintanace
Achana na mabarabara ya tarura naomba uangalie barabara zilizojengwa chini ya miradi ya world bank kama ya sabasaba, miji mwema, mwaloni na mjini kati kama ile ya thaqaafa, nyakahoja, sukuma, na isamilo ni nzuri na zipo standard ata huu mradi wa sasa wa bank ya dunia nadhani zitakuwa bora na zenye viwango🙏🙏🙏
 
Unachosem n kwel kak mwanz ispokua makin itapitwa coz kinachomatter n maendeleo sio wing wa watu ata kun mji kua mkubwa na kun kua umeendelea n vtu viwil tofaut dom wanaboresh miundombinu hasa barbarkw kias kikubw mifumo ya maji nandh ile dhna ya kua tu kua second city na kuridhika haifai kuish nayo kbsa...utabak kua mji mkubw na haun maendeleo
Umetema madini bro, Miji ya kenya mfano mingi ni midogo midogo sana lakini imejengeka vizuri na miundo mbinu ni ya uhakika, tofauti na miji yetu hasa Mwanza, Mwanza ni mji mkubwa tena mkubwa sana lakini miundombinu ipo nyuma mnooo, maji na barabara na recreational areas vimekuwa kama ndoto.
 
Mwanza ni mji mkubwa sana kwa kigali lakini kigali ni bora kuliko Mwanza.
Had namkumbukaga yule msanii kipind cha mkapa alieimba mwanza zirekebishwe barabara na kweli miaka ya 2000 mwanzon barabara ya Lami kenyata road ilikuwa inaanzia mkuyuni na nyerere road ilikuwa inaanzia nyanguge 😄😄😄😄
 
I wish wawe wanaona haya Mambo hata Kama zote huwezi kuzifanya kwa mara moja basi Jenga chache chache zenye quality, sio zile za tarura zile ni uchafu uchafu kabisa
Napenda barabara za world bank tu sijui miradi ya tarura huwa haziniporezea muda najua baada ya week au mwezi ni mashimo.
 
Mi naomba hii miradi ya kimkakati ambayo kila siku wanajinasibu nayo kuhusu Mwanza ikamilike haraka (Stand ya Nyegezi, Nyamhongolo,Soko kuu pamoja na Damp la Buhongwa)...
Baada ya hapo tuone watajinasibu na miradi ipi mikubwa Mwanza, mi naamini baada ya miradi hii kukamilika ambayo nafkri hadi kufika mwakani yote itakua imekamilika, wataleta tu miradi mikubwa hawawezi pindua Kwa ukuaji wa Mwanza inawalazimu kuleta miondombinu...
 
Hv nyamagana na ilemela wanashindwa kutoa hata bilion 5 kila Moja kutengeneza recreational park
Wanaeneo zuri sana pale clinic lakini wamelala tu wakiwazia 10%, pia hapo mbele ya soko la mjini kati hapo pamba road kuna vijumba vya maduka, ambavyo nasikia wamiliki walishalipwa fidia waweke vitu vizuri vya watu kupumzikia na kutuliza mawazo.
 
Back
Top Bottom