Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bila kuzuia watu wasijenge nyumba tusahau haya mambo ya property development kwenye nchi yetu.
Ndo mana ulaya mashirika ya nyumba ndo yanajenga nyumba , Kwa standard zote , mwananchi kazi yako ni kununua au kupanga na facilities zote zinakuwepo , barabara , umeme maji n.k , bongo kila mmoja anajenga Kwa ramani yake na Kwa uelekeo anaaoona unafaa , mpak uchochoro wa kupita unakosa , mkitaka kuweka rami inabdi muendeshe bomoa bomoa tena 😁
 
Ndo mana ulaya mashirika ya nyumba ndo yanajenga nyumba , Kwa standard zote , mwananchi kazi yako ni kununua au kupanga na facilities zote zinakuwepo , barabara , umeme maji n.k , bongo kila mmoja anajenga Kwa ramani yake na Kwa uelekeo anaaoona unafaa , mpak uchochoro wa kupita unakosa , mkitaka kuweka rami inabdi muendeshe bomoa bomoa tena
Awareness ni ndogo miongoni mwetu ..
Na uchache pia wa wawekezaji wa real estate

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nipo hapa buhongwa, na sisi tunahitaji ka wilaya ketu Sababu population tunayo, halafu sisi ndo tunailisha Mwanza nzimaa, tumezalisha kata ya pili this time
Kata gani mmezalisha
 
JIJI LA MWANZA NA JIJI LA TAMPERE NCHINI UFINI (FINLAND) LAWEKA MKATABA WA MIAKA MIWILI KUENDELEZA MAJIJI NA MAENDELEO ENDELEVU (SDG's)

Mstahiki Meya Jiji la Mwanza Mhe. Sima Constantine Sima pamoja na Mstahiki Meya jiji la Tampere Mhe. Matti Helimo wa nchini UFini (Finland) wameweka mkubaliano ya miaka miwili kutekeleza mradi utakaojulikana kama (Mwanza Tampere Sustainable Development Twinning Project) wenye lengo la kuhakikisha mpango wa umoja wa mataifa wa maendeleo endelevu (Agenda 2030) unatekelezwa Kwa pamoja.

Mkataba huo uliowekwa Leo tarehe 05.10.2022 Jijini Tampere baina ya Majiji Dada (twins sisters City) Jiji La Mwanza pamoja na Tampere unafadhiliwa na UN habitat ukihusisha miradi ya maendeleo kwa majiji hayo inayoenda sambamba na utekelezaji wa Malengo 17 ya dunia SDG ambapo Jiji la mwanza litakuwa la kwanza Nchini kutekeleza Katika ngazi ya mitaa kwa maendeleo endelevu ikijengewa uwezo kupitia ushirika wa Jiji la Tampere Ufini (Finland).

Hafla ya utiaji saini imehudhuliwa na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Yahaya Sekiete, Mwakilishi wa UN Habitat Finland na ALAT Tanzania. Meya jiji la Mwanza pamoja na ujumbe wake wapo nchini Ufini (Finland) kwa ziara ya kikazi itakayoisha 09.10.2022. katika ziara hiyo Mhe Sima amehudhuria kongamano Helsinki na sasa yupo Tampere kisha atamalizia ziara Hospital ya Hantaa kuwezesha hospital ya Nyamagana na anatazamia kutembelea kitengo ya wajasiriamali, Biashara na uwekezaji (Ensimetri) ili kujenga uwezo vikundi vya Akiba na Mikopo ambapo nchi ya Ufini ndio inaongoza kuwa na Ushirika Duniani. Kadharika Mhe. Sima atatembelea kituo cha Zimamoto Kusaidia kitengo cha Zimamoto Jiji la Mwanza kuwa na uwezo wa kukabiliana na majanga ya moto.

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo La Nyamagana🇹🇿
Apa Maneno tu
 
Ukisoma kwenye pdf ya Hali ya wilaya ya ilemela.ilemela status .kama ilivyo kwenye hotuba ya mkurugenzi.
Hadi 2025 barabara zifuatazo zitakuwa tayari zimekamilika

shibula Hadi TX
ilalila Hadi sangabuye
Pasiansi lumala Hadi kiseke
Airport igombe Hadi Kayenze.
Na tayari hiz barabara ziko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji...
Fursa
usiogope kuwekeza ardhi yako kwenye hayo maeneo .. serikali sio wajinga,,,,ikishapanga kitu lazima kitatekelezwa tu View attachment 2379130

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi wanakojenga Chuo cha Bugando in Isela ya Buswelu au Usagara?
 
Apa Maneno tu
Chenga tupu , kile kipande cha kutokea mto mirongo mpak mwaloni wameshindwa hata kuweka recreation ground , kukawa na beach fulan hv amazing , watu wakawa wanachili pale, ingeleta mandhari Bora kabisa, hata kumpa mwekezaji wameshindwa , eneo linabak kunuka vinyesi tuu, kisa hao tampere , mwaka karbia wa 15 sasa Stori n hzo hzo za tampere
 
What if Tampere walishatoa fedha na zikapigwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
polls za watu huko Twitter
PSX_20221009_084253.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mikidadi umeona sasa, nilikuwa nakuambia hii stendi ya nyegezi ni habari nyingine.
 
Chenga tupu , kile kipande cha kutokea mto mirongo mpak mwaloni wameshindwa hata kuweka recreation ground , kukawa na beach fulan hv amazing , watu wakawa wanachili pale, ingeleta mandhari Bora kabisa, hata kumpa mwekezaji wameshindwa , eneo linabak kunuka vinyesi tuu, kisa hao tampere , mwaka karbia wa 15 sasa Stori n hzo hzo za tampere
Ilo eneo ndio kuna mradi wa tampere park.
 
Hivi hayo Ujenzi wa majengo ya DIT upo pale pale kwenye eneo la chuo au eneo jipya? Naomba mniambie ili niwe nafatilia, 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom