Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Halina crane ๐
Halina crane ๐
Ni ghorofa nane mkuu lakini nimesikia wanataka kununua tena eneo hapo jirani wajenge jengo lingine.
Mi si niliwambia likifika 10 mniite mbwa ...Halina crane![]()
Hilo lingine ndio litakuwa ghorofa nne kabisaNi ghorofa nane mkuu lakini nimesikia wanataka kununua tena eneo hapo jirani wajenge jengo lingine.
Kama ni hospital,,,,mi naona wamefeli ...Ile architect haipendezi kuwa hospital inafaa iwe jengo la biashara, apartmentNi ghorofa nane mkuu lakini nimesikia wanataka kununua tena eneo hapo jirani wajenge jengo lingine.
Mimi naona wapo sawa kwa nature ya huduma wanazotoa, kibiashara inatakiwa wawafuate wananchi sio wananchi ndio waifuate hospital labda kama gov hospital hazipo kabisa.Hospital inatakiwa iwe kwenye comfortable area ...sio vile
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nitapenda kama siku moja Ukerewe ingizwe JijiHuwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
Hahaha 45kms from Mwanza town, no land transportation, so it's almost impossibleNitapenda kama siku moja Ukerewe ingizwe Jiji
Labda wajengee Daraja kama lile la urusi na CrimeaNitapenda kama siku moja Ukerewe ingizwe Jiji
Hahaha 45kms from Mwanza town, no land transportation, so it's almost impossible

Kwa hyo unadhani hapo kwenu misungwi kisa ni km 30 Toka mjini patakuwa jiji . impossible Nyegezi..saa 11 alfriji View attachment 2376350
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Alafu nadhn kun iman kua dar ndo jiji la ote la nchi kwhio likijengwa watu wanakaa kimya ila ikijengwa mwanz hawaon km n second city wanaon km n mji wa wasukum na wanaojengew n wasukum so watu wanapiga kelel ikijengwa arush watu wanapig kelel ikijengw mbey watu wansem wanapendelew kwhio mikoa mingne inaon km wapo saw na mwanz na wanaon pia hawatendew haki icho n kitu ambcho kipo chin chin
N ishu ambyo inasumbua san nchin japo haionekn km n tatzo wanpuuzia tu japo wanajua...nmefatilia nchi nyng kwen masual ya miji na majiji nch za watu....miji inashare national cake nch nyngne lkn km ulvosem Kenya miji yao maendeleo yanaendan atleast haziaachn san hivo watu wanakua hawaon sabb ya kukimbilia nairob tu coz vinavoptkn nairob na miji mingne vinaptkn miji ming kenya sio nairob tu ina majengo mazur sas sis kila ktu dar hata kuamish mji kwend dodom ilikua na vita hawakutak ilikua n nguvu ya maguful ila nadhn isngetokea ivo jpo mpka sas n vuta vuta...matajir ote wanasias wasaniii viongoz mbalmbal wanakaa dar n ushamba n mawazo finyu kua lazm ote tukae dar why!! Nchi n kubw na kil mkoa unawez kua na investments kubw na kila mkoa una nature yake resources zake tungejeng vzur kila mtu asngekua na haja ya kwend dar Vyuo vyote vikuu home of all private sectors sa kwann watu wote wasiende kule na watu wanatafut maish...Home of all media's wakt ukiangalia miji ya marekan kila jiji limeendelea kwa namna yake nature yake na viongoz mastaa,watu maruufu wankaa miji tofaut tofaut coz kilichopo los angels,kipo New York,kipo san Francisco at washgton sas mwanz tok iwe jiji tok 2002 had leo hamn hata dual carriage barbar kuu ya kuingia na kutokea wakt dar zipo zaid ya kum 10
Afu si ilikua tareh 1 October stend ianze kaz au ndo serial ya tutafnyaBado hawajamaliza kk
Afu kingine pale kuna hifadhi ya barabara
Kweli kipato cha watu wengi chenga , majengo mengi bongo floor za juu wamejaa popo tuu , sasa hyo hasara Nani atakubali , mji ukifikia uhitaji wa kuwa na majengo marefu yatakuja tuuKm umefatilia vzur kuhus NHC kuna muda wanatoa ubia na watu wengne kujenga majengo au kumalizia majengo hata hapo mwanz kuna majengo waliingia ubia na watu binafsi...kujenga hayo majengo hua inategmean na uhitaj wa jamii na hela yao kw bongo huwez kujenga aprtments za gharam na watu weng wana maish ya kawaid hasa izo gorofa izo Za Morocco square kaulize gharam za kupanga utajua n watu wangp wangewez kupanga bongo nhc n shirik linasaidia kuondoa uhaba wa nyumb bongo sio km hawawez ila shida nadhn n gharam kutegmean na watu wanopnga nao pia wanaitaj faida
Ukiambiwa tareh 1 .jua ni tarehe 30 ...Afu si ilikua tareh 1 October stend ianze kaz au ndo serial ya tutafnya
Kweli kabisa ... mwekezaji anaangalia ROI na ROA .. return on investment na return on assets .... ukiangalia majengo mengi marefu hata dar hayana wapangaji...hasa haya ya taasisi kama TPA ,NSSSF,nk ..Kwa hyo inakuwa hamna faida ya kuwa tower ndefu ambazo hazileti return....nadhan wengi wetu bongo hatuna uelewa na property investment..mtu anaona ni Bora akanunue kiwanja kisesa kuliko anunue apartment ndani ya ghorofa aiishiKweli kipato cha watu wengi chenga , majengo mengi bongo floor za juu wamejaa popo tuu , sasa hyo hasara Nani atakubali , mji ukifikia uhitaji wa kuwa na majengo marefu yatakuja tuu
Intelligent Toka uende bukoba..imekuwa slow Kama Mr slowly.sio mbaya pia ukaleta information za bukobaWatajenga kituo cha daladala na eneo la machinga
Bila kuzuia watu wasijenge nyumba tusahau haya mambo ya property development kwenye nchi yetu.Kweli kabisa ... mwekezaji anaangalia ROI na ROA .. return on investment na return on assets .... ukiangalia majengo mengi marefu hata dar hayana wapangaji...hasa haya ya taasisi kama TPA ,NSSSF,nk ..Kwa hyo inakuwa hamna faida ya kuwa tower ndefu ambazo hazileti return....nadhan wengi wetu bongo hatuna uelewa na property investment..mtu anaona ni Bora akanunue kiwanja kisesa kuliko anunue apartment ndani ya ghorofa aiishi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app