Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kwan kaka hujapata tu kiwanja...,,,,..

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Bro, mambo in mengi sana. Nikisimylia hapa utashangga.

Ardhi Mwanza inanuka UTAPELI uliokubuhu. Mpaka mabibi, vijana na wazee ni MATAPELI waliokubuhu.

Na hawa watu ni wengi mnooo na wanakula mpaka na viongozi wa Dola. Nilipata kiwanja Kisesa na Busenga-buswelu ili nimekuja kugundua sina changu.

Na mother anataka kisehemu cha kyishi, maana anamiaka 46 sasa hivi wakati Mimi nimetoka Mwanza 2013 kwahiyo sina picha kabisa ya Mwanza kwasasa zaidi ya kyiona mtandaoni tu.
 
Mh .pole sana ndugu yangu ,,,,makanjanja hawakosekani ..ila kama ungepata mtu mwaminifu akafanya site visit.. ulikuwa unaweza kupata kiwanja kizuri kisicho hata na utapeli ..kuna makampuni registered kabisa wanauza viwanja vilivyopimwa kwenye maeneo mazuri tu .

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mh .pole sana ndugu yangu ,,,,makanjanja hawakosekani ..ila kama ungepata mtu mwaminifu akafanya site visit.. ulikuwa unaweza kupata kiwanja kizuri kisicho hata na utapeli ..kuna makampuni registered kabisa wanauza viwanja vilivyopimwa kwenye maeneo mazuri tu .

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kisesa hakuna mradi was viwanja was Halmashauri.

Pili, utapeli was viwanja umechanganyika na udhulmaji. Yaani unaweza kuuziwa kiwanja halali kabisa, baadaye kiwanja hicho hicho akauziwa MTU mwingine. Hivyo hivyo hata watu 7.

Na hao watu kuwapeleka polisi au mahakamani Ni kama sebuleni kwao tu.
 
Mara nyingi viwanja vilivyopimwa havina utapeli ,,, tofauti na hv tunavyouziana kienyeji ....Kuna makampuni nje ya halimshauri yanakuwa na miradi ya viwanja vyao tayari vimepimwa Kila kitu wnakuwa wanawauzia wananchi ..unakabidhiwa hati ya mauziano Kila kitu na ikitokea misunderstanding unaweza kwenda ofisini kwao na ukaondoa utata uliopo .

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kisesa hakuna mradi was viwanja was Halmashauri.

Pili, utapeli was viwanja umechanganyika na udhulmaji. Yaani unaweza kuuziwa kiwanja halali kabisa, baadaye kiwanja hicho hicho akauziwa MTU mwingine. Hivyo hivyo hata watu 7.

Na hao watu kuwapeleka polisi au mahakamani Ni kama sebuleni kwao tu.
Na hzi kampuni Zina viwanja
Kisesa,nyanshishi,buswelu, Usagara,kishiri n.k

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na hzi kampuni Zina viwanja
Kisesa,nyanshishi,buswelu, Usagara,kishiri n.k

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu, nakuthibitishia hao matapeli wana watu mpaka Halmashauri na Ardhi.

Labda upate established company ambayo imeshaonesha haina scandal kwa muda mrefu.

Ila kama Ni kampuni tu hizi za BRELA za michongo kaka. Ni kuomba Mungu tu
 
Duh aisee....,, inahitajika umakini sana ,,,,,Kwa hyo Bora vya halmashauri au

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20221003-191700.png
    Screenshot_20221003-191700.png
    146.1 KB · Views: 12
Yes, viwanja vya miradi ya Halmashauri Ni uhakika au pia unaweza kununua kwa MTU mnayefahamiana vizuri kama anauza.
Mi nitanunua nikienda huko ...na lazima kuwepo na document za kutosha kuidhinisha manunuzi ....mi nakumbuka Kuna aunt yangu alilizwa viwanja viwili kipind hicho nyegezi ilikuwa bado kijijini..aliuziwa kiwanja laki 3 ... hakugive up ,,,akaenda buswelu wakati huo ni kijijini Nako 2008 ,akanunua na kujenga Hadi Renta wakaja matapeli watu wa ardhi na kujichukulia maeneo, however magufuli alipoingia madarakani viwanja vilirudi .. Kwenye manunuzi ya viwanja kunahitaji umakini

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Inabidi uje mwenyew ufatilie Kila kitu ....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nina MTU tayari anafuatlia kila kitu, ndio nikagundua mtandao wa hao matapeli siyo wa kitoto na Ni watu wengi mnoooo. Ingawa wako mahabusu, lakini nimegundua jamaa hawalali mahabusu, maana juzi Luna mmoja alinipigia simu SAA 1 usiku wakati Mimi najua yumo selo.
 
Ndo mana ulaya mashirika ya nyumba ndo yanajenga nyumba , Kwa standard zote , mwananchi kazi yako ni kununua au kupanga na facilities zote zinakuwepo , barabara , umeme maji n.k , bongo kila mmoja anajenga Kwa ramani yake na Kwa uelekeo anaaoona unafaa , mpak uchochoro wa kupita unakosa , mkitaka kuweka rami inabdi muendeshe bomoa bomoa tena 😁
Ulaya hata ukitaka nyumba yako uibadilishe unaomba ruhusa.
Kwetu mtu anaamka na wazo la Duka analeta fundi
 
Back
Top Bottom