Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nadhn ulikua hujui ndo maan ulizan NHC wanajenga nyumb tu kawaid ila hayo na majengo mengne hapo mwanz n ya NHC
Naona umeanza kuchanganya madesa, au umeanza utani hayo majengo na hizo hotel wamiliki wake nawajua. Alafu mali za nyanza corporation union siku hizi nawaona nyie watu wa NHC mnaanza kutia manembo yenu mtadhan mlijenga.
 
Jengo la kwanz self plaza n ubia kat ya mtu binafs na NHC,jengo is pili ilikua ubia kat ya mtu binafs na NHC ila mtu binafs alipew jengo aliendelez akashindw ikabid walikuchkue wao na kulimalizia jengo la tatu is gorofa 9 Karbu Karbu mskt wa aghakan n wao pia
Hapo ndio nimeelewa🙏🙏🙏
 
Umeenda kutafuta picha chokonozi wewe mikidadi🤣🤣🤣🤣
 
Umeenda kutafuta picha chokonozi wewe mikidadi
Kama huu uchafu hapa
20221008_072450.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
We mtu wa misungwi .hupaswi kuzungumzia mwanza..soon mnahamishiwa mkoa Mpya wa kwimba ..baada sensa ya watu na makazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
 
Huwa nasema mwanza ni ilemela na nyamagana, nje ya hapo sio mwanza coz kuna siku, huko sengerema, misungwi, magu au ata kwimba wanaweza kuwa mkoa mpya lakini sio ilemela na nyamagana.
😁😁 Utamuweza huyo jamaa, hamna mtu wa misungwi hapa
 
Back
Top Bottom