Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Ni ujenzi wa residential builidings?Hao jamaa huwa wakiweka hivyo ujue ujenzi anytime
Ni ujenzi wa residential builidings?Hao jamaa huwa wakiweka hivyo ujue ujenzi anytime
Upo sahihi kabisaa mkuu.Huwa nasema Ilemela ni kama Kinondoni kwa Dar, na Nyamagana ni mixer Ilala na Temeke![]()
NdioNi ujenzi wa residential builidings?
Nyegezi ni hatari sana ngoja stendi iishe tuamieHakuna stendi iko bize kama hiyo ukitoa Magufuli mbezi terminal!
Ghana inakuja juuNa lile jengo la ghana wameshafunika floor ya nane wanaweka matoleo ya floor ya tisa, mkumbuke hili jengo lina underground.
Mkuu Ilemela bado ni hatari bila kupinga.Nyamagana ndio home of apartments and vilas
Capripoint
Isamilo
Mwanachi .
Kidogo majirani zetu ndio wameanza kuzinduka juzi juzi hapaView attachment 2376395View attachment 2376396
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ghana na kirumba kuna magorofa yanajengwa sema ni mafupi.Ghana inakuja juu
Sijawahi ona tofauti ya Ghana ya kirumba.....ni mitaa ambayo huwezi itenganisha kama ilivyo buzuruga na mecco,.butimba na mkuyuni,mhandu na nyakato..ni mitaa ambayo inaingiliana ..Ghana na kirumba kuna magorofa yanajengwa sema ni mafupi.
Nimekumbuka mbali sana na lile rungu lake sasaAlikuwa mlinzi wa uwanja wa CCM Kirumba,

Baada ya Yanga na Simba sidhani kuna timu inayoweza kuifikia Pamba FC ya miaka hiyo.Natamani ile timu irudiHivi hiki kizazi cha sasa wanajua ule uwanja wa CCM kirumba tulikuwa tunaujaza kuangalia mechi za Pamba?.
Simba na Yanga zilikuwa hazisogezi pua.
Na je wanajua pamba ilishawahi kuwa bingwa wa Tanzania ikashiriki klabu bingwa Afrika ikaweka rekodi kwa kuifunga timu moja ya Madagascar 17-0.
Karibu IlemelaNyamagana ndio home of apartments and vilas
Capripoint
Isamilo
Mwanachi .
Kidogo majirani zetu ndio wameanza kuzinduka juzi juzi hapaView attachment 2376395View attachment 2376396
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ligi mpya hiiWatu wa Ilemela tumewapa promo mnataka kutupanda kichwani![]()


Mimi mwenyewe huwa natamani hivyo na watu wa mwanza wawe wanapenda timu yao kama kipindi hicho.Baada ya Yanga na Simba sidhani kuna timu inayoweza kuifikia Pamba FC ya miaka hiyo.Natamani ile timu irudi
Nakuona mwana misungwiWatu wa Ilemela tumewapa promo mnataka kutupanda kichwani![]()



Nipo hapa buhongwa, na sisi tunahitaji ka wilaya ketu
Sababu population tunayo, halafu sisi ndo tunailisha Mwanza nzimaa, tumezalisha kata ya pili this timeBuhongwa kubwa mnoo inatakiwa izalishe kata zingine 3Nipo hapa buhongwa, na sisi tunahitaji ka wilaya ketuSababu population tunayo, halafu sisi ndo tunailisha Mwanza nzimaa, tumezalisha kata ya pili this time
Landforms za buhongwa ni miamba tu hamna sehemu tambarareBuhongwa kubwa mnoo inatakiwa izalishe kata zingine 3