Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Huwezi kupata mwekezaji kwa style hii atamuuzia nyumba nani.
Watu wakizuiwa kujenga ndio soko linakuwepo.
Hata supermarket hupata soko kama hakuna masoko ya kienyeji
Kumzuia mtu kujenga ni kitu kigumu ...serikali itengeneze policy maeneo yote mjini yapimwe ,na yawe chini ya mamlaka ya usimamizi.. viwanja vya kujenga nyumba binafsi viwe bei juu kuliko viwanja vya kujenga majengo ya apartment.ili mtu aone gharama ya ujenzi binafsi kuliko kununua apartment

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nina MTU tayari anafuatlia kila kitu, ndio nikagundua mtandao wa hao matapeli siyo wa kitoto na Ni watu wengi mnoooo. Ingawa wako mahabusu, lakini nimegundua jamaa hawalali mahabusu, maana juzi Luna mmoja alinipigia simu SAA 1 usiku wakati Mimi najua yumo selo.
Duh.....noma ,,,,,,ngoja nijichange bwana nataka nikachek eneo nje ya jiji karibu na ziwa huko sangabuye..

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Duh.....noma ,,,,,,ngoja nijichange bwana nataka nikachek eneo nje ya jiji karibu na ziwa huko sangabuye..

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sangabuye sijajua Ilemela wamepima viwanja vingaoi. Ingawa idadi ya watu waliochukua fomu za kununua fomu mpaka siku ya mwisho ilifika 2700.
 
Viwanja vilivyopimwa ni 3500 ..,,kati ya hao 2700 Kuna wengine wamenunua viwili viwili.. however Sina mpango wa kuchukua maeneo ya halmashauri
 
Kwanini?

Kuna jamaa yangu yeye ana kiwanja maeneo hayo ya Bugando ndio anataka kuniuzia, so nitataka nijue kumekaa vipi?
 
Kumzuia mtu kujenga ni kitu kigumu ...serikali itengeneze policy maeneo yote mjini yapimwe ,na yawe chini ya mamlaka ya usimamizi.. viwanja vya kujenga nyumba binafsi viwe bei juu kuliko viwanja vya kujenga majengo ya apartment.ili mtu aone gharama ya ujenzi binafsi kuliko kununua apartment

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndio kuzuia kwenyewe huko
 
Isela huko wanakotaka kujenga chuo kipya.
Si huku .....nadhani maeneo ambayo yanakua...baada ya muda patakuwa mjini
images (15).jpg

Back
Top Bottom