Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nyamagana residential area nzuri ni capripoint, mwananchi, isamilo na nera pengine pakawaida tu, lakini ilemela ni simba wa maeneo bora hapa Tanzania kama, bwiru, nyasaka, pasiansi, lumala, kiseke, ilemela, malaika area, kirumba, nyamhongolo, mecco, nundu, kangaye, buzuruga na buswelu nenda hayo maeneo kalinganishe na utopolo wa nyamagana na hayo maeneo ya ilemela yamepitiwa na lami safi standard hakika ilemela ni taswira ya makazi bora hapa Tanzania.
wewe nyamagana hua unapita barabarani eeeeh!! hapa mwanza hakuna kata nzuri kama nyegezi ikifutiwa na igoma

Igoma ukitoa mitaa ya Mandela,ndama,ushashin nk igoma ni nzuri sana
 
Mnaosema nyegezi terminal hamna vumbi.vipi hapa
20221008_072450.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mwanza ingekuwa na miundombinu mizuri haikupaswa kuitwa "mikoani" kwangu huwa nalichukulia Kama neno lilikojaa dharau na kejeli tu
We mtu wa misungwi .hupaswi kuzungumzia mwanza..soon mnahamishiwa mkoa Mpya wa kwimba ..baada sensa ya watu na makazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa brother...... mwanza ni jiji Zuri ambalo majira yote ya mwaka linapendeza na kimbilio la vijana wengi Kanda ya ziwa .na siku hizi naona watu wa singida wanahamia sana mwanza.


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio singida tu, waha wamejaa, wachaga nao hawako nyuma
Hivi mlishagundua wakenya nao huja kutalii mza.
Watu wa dar wenye uwezo nao huruka kuja mza weekend then wanarudi
 
Back
Top Bottom