Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Si kama za medeli pale ...au..kwani ukijenga apartment nzuri hata kama sio za ghorofa haziwezi kuwa bei nafuu ..mbona nchi nyingine wa bei nafuu ndo wanakaa maghorofani sasa ..

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
N kwel upande wa raman wako nyuma ndo maan nazungumzia nyumb za gorofa ndo zinazoitajik hasa kwen majiji yetu ukiach dar gorofa ata ukijenga dizain mby haiwez kua saw me nyumba afu umeshatembelea majengo ya NHC upanga ukaona?
 
Nope ,, sijawahi...ila kiukweli mim miradi ya NHC Huwa siikubali ...hata walikijenga ghorofa zao ..kitu walichonifurahisha mwaka ni kuja na huu mpango ..utawasaidia sana kuwa up to date
20221007_214837.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2022-10-07-21-43-44.png
    Screenshot_2022-10-07-21-43-44.png
    225.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_2022-10-07-21-43-24.png
    Screenshot_2022-10-07-21-43-24.png
    209.4 KB · Views: 19
NHC hamna kitu aisee ..yaani zile nyumba za iyumbu wanaenda kutafuta wanunuzi diaspora..ukiacha morroco square kwingine hapana aiseeView attachment 2380092

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Km umefatilia vzur kuhus NHC kuna muda wanatoa ubia na watu wengne kujenga majengo au kumalizia majengo hata hapo mwanz kuna majengo waliingia ubia na watu binafsi...kujenga hayo majengo hua inategmean na uhitaj wa jamii na hela yao kw bongo huwez kujenga aprtments za gharam na watu weng wana maish ya kawaid hasa izo gorofa izo Za Morocco square kaulize gharam za kupanga utajua n watu wangp wangewez kupanga bongo nhc n shirik linasaidia kuondoa uhaba wa nyumb bongo sio km hawawez ila shida nadhn n gharam kutegmean na watu wanopnga nao pia wanaitaj faida
 
Km umeangalia miji ming hap nchin NHC wana viwanja ving San katkat ya miji na majengo meng maoffice na apartments ila n majengo ya mda san yalikua mazur kipind icho kulingan na kipind icho ila sas hayaonekn km yanafaa na hayaendan na kipind hiki kwhio n swal la wao kujenga upya au kufany innovation ili yaendane na miji ya kisas au kipind hiki....ila uksem wasje meanz yale magofu na ivo viwanja vibak katkt ya mji namuonekn huo unaouona sas
Viwanja vya Mwanza umeona jinsi wanavyovitumia? wamejenga vibanda vya maduka katikati ya jiji la mwanza, je wanaweza kujenga hayo mabanda pale kariakoo?
 
Hapa sawa vitu kama hivi vinahitajika kipind hiki ...sio vijumba vile vya kisasa na iyumbu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sas umeon hayo majengo n meng san pale upanga hata mwanza cbd huwez kulinganish na upanga tu kw majengo na meng n zaid ya 15 to 25 floor....so icho ndo nnacho kisema wakijenga hata haya 5 tu mwanza cms mtapiga picha patapendeza san....dar ina cbd 4 right now na zinaelewek kwel due to huge investments lkn stil second city hata iyo moja sio fair kw kwel
 
Viwanja vya Mwanza umeona jinsi wanavyovitumia? wamejenga vibanda vya maduka katika ya jiji la mwanza, je wanaweza kujenga hayo mabanda pale kariakoo?
Mimi siwalaumu NHC kujenga vile mjini ..pale walikuwa wanapafanyia rehabilitation tu .......
Naamin NHC now watabadilika ,,,,wawe modern.. nyumba Gani zile dodoma .. serikali ifanye funding ya kutosha kwenye shirika hili na iajiri maarchitect wabobezi pamoja na investment analyst wa kutosha ila kuwepo na value kwenye miradi yao

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Viwanja vya Mwanza umeona jinsi wanavyovitumia? wamejenga vibanda vya maduka katika ya jiji la mwanza, je wanaweza kujenga hayo mabanda pale kariakoo?
Lkn pia nafikilia kitu kwamb n kwasabb matajir wa mwanz hawan hela au exposure! Ukiach izo taasis na private sector majengo meng mwanz n ya zamn san yalijengwa yameshindw kumalizk miak ming yamebak magofu hayaish na mengne au yanachkua mda san kumalizk sjui km mmeliona ilo
 
Sas umeon hayo majengo n meng san pale upanga hata mwanza cbd huwez kulinganish na upanga tu kw majengo na meng n zaid ya 15 to 25 floor....so icho ndo nnacho kisema wakijenga hata haya 5 tu mwanza cms mtapiga picha patapendeza san....dar ina cbd 4 right now na zinaelewek kwel due to huge investments lkn stil second city hata iyo moja sio fair kw kwel
Sasa CBD inajengwa na serikali rafik angu ukiona wapi ...au CBD ni eneo lolote la maghorofa ...mi ninachoelewa hata dar unayoizungumzia imejengwa hugely na private and institution investors....
Siungi mkono NHC kujenga apartment hapa CBD wakajenge kwenye suburbs huko ..hpa CBD pabaki kama financial district and business center.. private investors na taasisi zijenge commercial complex za kutosha kulingana na analysis zao ....japo pia hata apartment zinaweza kujengwa CBD ,,hyo haiwi encouraged sana kwenye miji ya kisasa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Viwanja vya Mwanza umeona jinsi wanavyovitumia? wamejenga vibanda vya maduka katika ya jiji la mwanza, je wanaweza kujenga hayo mabanda pale kariakoo?
Kwa kwel hawawez boss...ata arush nmeona hawalet dharau km izo...
 
Sasa CBD inajengwa na serikali rafik angu ukiona wapi ...au CBD ni eneo lolote la maghorofa ...mi ninachoelewa hata dar unayoizungumzia imejengwa hugely na private and institution investors....
Siungi mkono NHC kujenga apartment hapa CBD wakajenge kwenye suburbs huko ..hpa CBD pabaki kama financial district and business center.. private investors na taasisi zijenge commercial complex za kutosha kulingana na analysis zao ....japo pia hata apartment zinaweza kujengwa CBD ,,hyo haiwi encouraged sana kwenye miji ya kisasa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hizo apartment ikitokea nhc wakataka kujenga za magorofa wapeleke huko mabatini na bugarika wasijenge pale cbd tena.
 
Kwa kwel hawawez boss...ata arush nmeona hawalet dharau km izo...
Tanzania ni Moja ya nchi ambazo ni majiji ya hovyo sana Duniani ...
kwenye nchi ambazo ziko focused huwezi Kuta jiji la watu zaidi ya laki 5 liko shabby kama mwanza ...yaani mwanza tunabebwa na uzuri wa ziwa na ukubwa wa miji.ila kwenye miundombinu tuko nyuma vibaya hata google wanalijua Hilo .....
Moja kati ya miji ambayo ilitakiwa kuwa sura ya nchi Kwa sababu ya muingiliano mkubwa wa watu wa AFRICA mashariki ni Mwanza......Kila siku nawaambia wenzangu humu mwanza sio hadhi ya kuomba barabara mbili mbili kama sumbawanga,...ebu nenda kisumu ,ambayo ni mji wa tatu Kwa ukubwa Kenya na mdogo kuliko Mwanza ulivyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sasa CBD inajengwa na serikali rafik angu ukiona wapi ...au CBD ni eneo lolote la maghorofa ...mi ninachoelewa hata dar unayoizungumzia imejengwa hugely na private and institution investors....
Siungi mkono NHC kujenga apartment hapa CBD wakajenge kwenye suburbs huko ..hpa CBD pabaki kama financial district and business center.. private investors na taasisi zijenge commercial complex za kutosha kulingana na analysis zao ....japo pia hata apartment zinaweza kujengwa CBD ,,hyo haiwi encouraged sana kwenye miji ya kisasa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Natmn nkujbu vzur uelew nachomaanish ndugu yang...n kwel CBd n eneo is kibiashr lkn kun makz pia pia kun shughul za kioffice na zingne...tunavosem cbd sio private sector pek ake inajenga ata serkal inajenga pia sem wew upo interested na mashirk mengne kitu ambcho n sawa kbsa lkn huwez kuyatoa pia mashirk ya kiserkal hamn mji wa namna iyo hapa dunian...either wanashirkian au wanafany wao iyo karkooo kun apartments km zote,its posta kun aprtments km zote iyo upanga kun apartments km zote iyo makumbusho zipo pia na sjasem wajenge apartment pek ake kun maoffice pia wanajenga nadhn umeon pale mwanz ila tunachokisem wajenge kulingan na jiji second city sio ivo vibanda mzee we si umesem mfno Morocco square Kwan au upnga au umesahau
 
Tanzania ni Moja ya nchi ambazo ni majiji ya hovyo sana Duniani ...
kwenye nchi ambazo ziko focused huwezi Kuta jiji la watu zaidi ya laki 5 liko shabby kama mwanza ...yaani mwanza tunabebwa na uzuri wa ziwa na ukubwa wa miji.ila kwenye miundombinu tuko nyuma vibaya hata google wanalijua Hilo .....
Moja kati ya miji ambayo ilitakiwa kuwa sura ya nchi Kwa sababu ya muingiliano mkubwa wa watu wa AFRICA mashariki ni Mwanza......Kila siku nawaambia wenzangu humu mwanza sio hadhi ya kuomba barabara mbili mbili kama sumbawanga,...ebu nenda kisumu ,ambayo ni mji wa tatu Kwa ukubwa Kenya na mdogo kuliko Mwanza ulivyo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umeongea point sana, kenya kila jiji lina flyovers kama vile kisumu, nairobi, mombasa na nakuru, kuna mabarabara ya njia sita sita mpaka nane, lakini Tanzania ila uone flyovers au interchange lazima uende dar tu, hii nchi imekaa kisenge sana mkuu, tunapoitwa masikini na washamba tuanze kulalamika.
 
N sawa mzee ila pia Kenya ndo nchi ambyo imefany mabadilko makubw san kwen majengo nenda utaon kule ndo home of apartments ndo maan pia miji namuonekn mzur
 
Back
Top Bottom