Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,295
- 8,179
kwamba mtu anaishi bulale ndani ndani naye anasema yupo nyamagana, jijini mwanza😂😂😂
Mtu anakaa buhongwa anasema Yuko nyamagana [emoji28][emoji28]..na walioko pale isamilo wasemeje