Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

1b84d6a9914b8b8f74e4fb6c2ba75c4b.jpg
ffd970a8f80e93af559993d015e4c3fe.jpg
 
Hivi jaman hv ile proposal ya kuanzisha wilaya ya kisesa hv tungetegemea mapato gan kwa vyovyote ilemela hawawez kuiachia stand ya nyamhongolo mm binafsi naona tuvumilien miaka 3 kisesa na usagara zitakuwa zimekua sana daraja la kigongo litakuwa limeisha tozo za magari zitatozwa na kwa upande wa reli itakuwa inaelekea ukingoni
 
Manispaa mpya itakayoanzishwa kwa sasa haitakuwa na vyanzo vya kutosha vya mapato, kwa ushauri wangu naona hizo sehemu tuzigawane sisi wa nyamagana na Ilemela kwa mchanganuo ufuatao;

Ukanda wa kisesa, bujashi na fela ziende ILEMELA.

Ukanda wa Nyashishi, usagara, bukumbi adi kigongo ziwe upande wa NYAMAGANA ili jiji lipanuke zaidi.🙏🙏🙏
 
Manispaa mpya itakayoanzishwa kwa sasa haitakuwa vya vyanzo vya kutosha vya mapato, kwa ushauri wangu naona hizo sehemu tuzigawane sisi wa nyamagana na Ilemela kwa mchanganuo ufuatao;

Ukanda wa kisesa, bujashi na fela ziende ILEMELA.

Ukanda wa Nyashishi, usagara, bukumbi adi kigongo ziwe upande wa NYAMAGANA ili jiji lipanuke zaidi.🙏🙏🙏
Ikianzishwa manispaa Mpya watabuni tu mapato
 
Skyscraper mimi ndio nilikuwa na post nikitumia Jina la rockycity
Hii design uliyoweka ni mtu tu alikuwa anajifurahisha kudesign. Mimi niliwasiliana naye kwa email.
Na nakumbuka mimi ndio nilipost hiyo.
Sasa ujiulize kama enzi ya Kikwete bajeti ilikuwa 105b kwa terminal building iweje sasa hivi iwe 32b?
Najua , alaf sjui Kwa nn uliutelekeza huo Uzi
 
Ikianzishwa manispaa Mpya watabuni tu mapato
Ilo ni jambo jema lakini huu muda wakiwa wanajifikiria naona hizo nyanda tuzigawane siku tukiongeza vyanzo vya mapato tutaziachia ili kutengeneza manispaa mpya kwasasa sizani ukiangalia jinsi miradi inavyosuasua duh!
 
Wakisema ziingizwe ndani watazipa mzigo pia italeta utata kimaslahi
 
Ilo ni jambo jema lakini huu muda wakiwa wanajifikiria naona hizo nyanda tuzigawane siku tukiongeza vyanzo vya mapato tutaziachia ili kutengeneza manispaa mpya kwasasa sizani ukiangalia jinsi miradi inavyosuasua duh!
Me nadhani iundwe manispaa nyengne tu, tena Manispaa ya Kisesa itakua strategic zaidi kuliko Ilemela na Nyamagana kwani Maeneo ya kisesa na Usagara yamekaa kiuwekezaji zaidi
 
Tatizo sina imani kama tutapata manispaa mpya kwa sasa.
 
Back
Top Bottom