Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

ilemela bus terminus wana njia moja ya kuingia na hiyo ndio ya kutokea, pia parking ya magari madogo ni vumbi na matope,pia huko hakuna vibes.
Parking ipi ya magari madogo Ina vumbi.....Kwa hyo hayamagari yamepaki kwenye vumbi
1663080181539.jpg
20220905_094217.jpg
 
Nilipita siku zile nikakuta wametengeneza Parking za mabenki kwa nje
stendi ya wakina mikdde ata hawana parking za magari kwenye hile hostel/ hotel yao, kuna watu wanaweza kutaka kuja kupumzika huko wakiwa na magari yao na hilo mkalifanyie kazi.
 
stendi ya wakina mikdde ata hawana parking za magari kwenye hile hostel/ hotel yao, kuna watu wanaweza kutaka kuja kupumzika huko wakiwa na magari yao na hilo mkalifanyie kazi.
ilemela wameshndwa kujikopesha hata bn 1 wajenge km 1 ile barabara ya buswelu ili mtu akipita pale aone kuna Lami pesa za tactics zikija wanajilipa
 
mkuu ilo vumbi hapo hulioni magari madogo yanapopark? daladala na coaster huwa zinashusha na kupakia abiria wapi wakiwa hapo vumbini
Yaani unacheka kitu ambacho kipo on plan hvi nyegezi stendi na nyamhongolo Kwa nje wapi Kuna vumbi... mradi wa nyamhongolo unaishia ndani ya fence,mambo yote yaliyo nje ya fence sio stendi...kikubwa zaidi ambacho nyamhongolo inacho ni basement parking Kwa ajili ya business complex,,, magari yanapaki underground hayachanganywi na daladala kama nyegezi hapo
 
Stendi ya daladala inajengwa soon Tena sh milioni 500 ishatengwa ...
Unazungumzia lounge,,,ndani lile jengo la kwanza Kuna lounge,,,.,,,lile jengo multi facilities complex ambayo inaruhusu uwekezaji wote .Kwa hyo nyegezi haina kipya ambacho nyamhongolo hakipo
mkijenga hiyo stendi mtapata star rate ya 4 lkn nyegezi bado wanakuwa juu yenu kwa star rate ya 4.5.
 
itakuwa ni matumizi ya ovyo sana mkuu, waweke lami wakati mradi wa tactic unaanza hivi karibuni niaje man.
Nashangaa mlivyo na haraka ..wakati the best are yet to come ..kaeni mkingoja
 
Yaani unacheka kitu ambacho kipo on plan hvi nyegezi stendi na nyamhongolo Kwa nje wapi Kuna vumbi... mradi wa nyamhongolo unaishia ndani ya fence,mambo yote yaliyo nje ya fence sio stendi...kikubwa zaidi ambacho nyamhongolo inacho ni basement parking Kwa ajili ya business complex,,, magari yanapaki underground hayachanganywi na daladala kama nyegezi hapo
kwanini kwenye render hawakuweka daladala parking????
 
ila stand ya Dodoma kwa nyegezi bado sana ingawa wanasema walijenga kwa bn 24 wakat nyegez bn 16😄😄😄😄
achana na stendi ya dodoma mkuu hayo peleka kwenye uzi ule wa dodoma cbd vs mwanza cbd hapa tuongee kuhusu jiji letu yaani ilemela na nyamagana.
 
All in all stand zote mbili ni nzuri mno. Kuhusu suala la airport mi naona kwa upande mwingine Kuna Ile kasumba ya kutaka kuonyesha kuwa magu hakufanya vyema kwenye suala Hilo. Ila nachokumbuka Hilo jengo lilijengwa kama jengo la mda Wakati TAA wanaweka vizuri mambo Yao kwa ajili ya kujenga jengo zuri na kubwa na nafikiri hata michoro ilikuwa tayari. Sasa mkoa na TAA wamelewa na siasa kila mtu mjuaji. Kwa mtizamo huu hatuwezi kufikia lengo. Mlengo alioegemea mkuu wa mkuu ni mlengo wenye mamlaka vile ninavyomuona, basi kama ndivyo hivyo mkoa ukubali Nini TAA wanataka.
 
Back
Top Bottom