Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Swala la kwanini nyamhongolo itumike 26B na nyegezi 15.9B ni kwamba licha tu ya kuwa nyamhongolo Kuna stand na park ya malori lakini pia ni swampy area. Hivyo kazi ya pale ilikuwa kubwa kuliko ya nyegezi.
 
Upo sahihi mkuu lakini hiyo swampy area haijazuia kuweka parking standard ya daladala na barabara za kuingia na kutoka🙏🙏🙏
 
Nimemaliza kumsikia RC malima kuhusu uwanja wandege mza!! Kumbe shida ni nani anapaswa kuwa mmiliki wa terminal hiyo ikiisha!!

Inasemekana wamiliki wa uwanja huwa ni TAA, sasa nikama wamelisusa jengo maana wao walikiwa washa design kujenga jengo la terminal la kisasa zaidi kwa bilioni 32 lakini kinyume na utaratibu almashauri zikaelekezwa kujenga jengo la muda kwa kutumia fedha zao bila kuwa shirikisha TAA, sasa TAA hawalitaki hilo jengo wanasema lipo kama standnya bus🤣🤣🤣 wanasema liwe supermarket🤣 wao wanataka wajenge lao la b32, na kama watalazimishwa kupewa hilo basi wao wawe wamiliki moja kwa moja na watalibadili matumizi wakati huo huo mkoa nao hawataki kuliachia jengo!! Wanasema kwakuwa ni wao wametoa fedha wanahaki ya kukusanya mapato!! Mwisho wasiku jengo limekosa suluhu 🤣🤣🤣🤣
Ukweli ni kuwa hlo jengo halifai, TAA wapo sahihi, naunga mkono hoja za TAA, kulikuwa na matumizi ya hovyo Sana ya hcho kiwanja cha ndege , design ya Kwanza ilikuwa ipo vizur , na ujenzi ilianza kipind nafkr cha kikwete badae ukakwama, ghafula bin vuu , likaanza kujengwa jengo kama karakana , moja ya maamuzi ya kukurupuka ya JPM .....!!

Ushauri wangu hlo jengo ligeuzwe liwe tank la kuhifadhia mafuta ya ndege
 
af mkuu wa mkoa anamuita kiongozi wa TAA alietuma msg kwa waziri mbarawa ni mnafiki Hawa jamaa wapo sahihi sana hawatak siasa iingie kwny uwanja wa ndege inabd watujengee jengo zuri la Zaid ya bilion 32
 
Alilojenga kikwete liko wapi?
 
Yaani hapo kama wanamlaumu Magufuli ni wapuuzi tu! JPM kaifanyia mwanza mambo mengi sana! Tatizo ni uongozi wa mkoa watu vichwa panzi wasiooweza kujiorganise ili kufanya kitu kikubwa! Lakini itambulike kuwa mwanza airport ni uwanja wenye wateja wengi sana wa local kuliko hata KIA!
Alilojenga kikwete liko wapi?
 
af mkuu wa mkoa anamuita kiongozi wa TAA alietuma msg kwa waziri mbarawa ni mnafiki Hawa jamaa wapo sahihi sana hawatak siasa iingie kwny uwanja wa ndege inabd watujengee jengo zuri la Zaid ya bilion 32
Kwani Taa wamekatazwa kujenga jengo Lao. Taa wanalitaka hili jengo mnalolikandia, sasa kama wana pesa si wawarudishie halmashauri ndio walichukue
 
ila wadau njia ya kwenda usagara bukumbi Hadi kigongo ina watu wengi sana sahv sahv kule kuna mataasis yamejenga shule manake ukiwa buhongwa hata saa 4 uck ile njia unapata usafir changamoto ni barabara ya usagara kisesa ukitoka sanji tu huko kwingine ni mapori labda kidogo na pale kona watu wamejenga jenga ukitoka hapo pori makaz yameanzia igekemaja Hadi kisesa ila njia ya usagara to kigongo miaka 3 ijayo panajaa
 
Hivi ukiwa unatokea Kisesa kuelekea Usagara ukivuka Fela unapita Bukumbi?
 
Alilojenga kikwete liko wapi?
Bajeti ya kikwete ilikuwa kama skosei ni billion 105, kuanzia control tower , runway , na badae terminal , bati zikazungushwa vyema kabisa na mkandarasi akawa site Kwa ajili ya jengo la abiria , design ya Kwanza ilikuwa ya hovyo badae ikaja design Kali kabisa ya ukweli, unaweza chek hii video hapa

ilikuwa Bomba Sana , kule skyscraper city kila kitu kipo , yaan huo mchoro ukiuangalia huwez sifu hlo jengo lililopo sa hv , ni kama taka taka tuu, lakni kama tunavyojua kipind cha kikwete kulikuwa na ufujaji mkubwa wa pesa , usimamizi haukuwa poa , na hata pesa haikutoka vyema , JPM alichopaswa kufanya ni kufund pesa iliyotakiwa kama alivyokomaa kuikamilisha terminal 111 ya DSM ambayo pia kikwete aliiacha ikiendelea,....!!!

Skyscraper mimi ndio nilikuwa na post nikitumia Jina la rockycity
Hii design uliyoweka ni mtu tu alikuwa anajifurahisha kudesign. Mimi niliwasiliana naye kwa email.
Na nakumbuka mimi ndio nilipost hiyo.
Sasa ujiulize kama enzi ya Kikwete bajeti ilikuwa 105b kwa terminal building iweje sasa hivi iwe 32b?
 
JPM asiinge entartain upuuzi wa serikali ya mtaa, ni Airport ipi hapa nchini inaeendeshwa kwa ubia na SM?
Mkataba walioingia SM na TAA kwenye kufinace huo ujenzi ndio shida. Kama kila kitu hakikuwekwa wazi tokea mwanzo na walifinance mradi kwa order bila mkataba, nadhani wange kaa kwa kutulia TAA wakaendelea na kazi zao.

Kuna indirect income watapata kutokana na huduma za Airport sio lazima wapate umiliki wa jengo 100% kama hawakuwa na kipengele hicho kwenye mkataba wa kufinance
 
Back
Top Bottom