bronze
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 430
- 803
Mnapagawishwa na upya au .... nyamhongolo still inadeserve kuwa the best terminal ..Kwa sababu zifuatazo
1.render yak Ina mvuto na Iko modern zaidi
2.ina facilities nyingi kuliko nyegezi (parking ya malori,hotel,na ,business complex na terminal building.
Kuhusu vumbi la pale njee.ni suala la muda na litafanyiwa kazi muda wowote
inaonekana we ni wa ilemela mkuu, ila sisi wa nyamagana tunasema nyegezi ni international kwelikweli