intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Nyamazobe ni mkolan
Mkolani unaichukuliaje mkuu, mkolani ni kubwa sana tena ipo more populated
Mimi mwenyewe nina wasiwasiLikifika 10 niite mbwa Niko hapa,![]()
Hana lolote nimeshamuona muongeaji tuAna mpango gani sasa wa kufacilitate ziwa litumike effectively.
Yule jamaa kawahi sana lufaSi ipo ya makongoro.ni dual ,,,ukija Nyerere road kuna TRI Lanes carriage .... serikali inatakiwa ipige njia sita kuanzia junction ya kenyata road Hadi Usagara round about..ipige njia sita kutokea buzuruga mataa Hadi round about ya kisesa , ipige njia nne kutokea buzuruga mataa Hadi pasiansi na ijenge interchange buzuruga...na pasiansi..imagine hili jiji lingekuwa modern sana
Kwa maelezo ya kibao nafkri wanaishia kiwango Cha changarawe maana kazi yenyewe ni ndani ya siku 90 mkandalasi akabizi...Wanaweka Rami au wanaparua alafu inaishia hv hv
Hapana...Hii ndio barabara ya mboga mboga Busenga, buswelu?
Watakuja kuomba kura tu,Nimeshangaa kusikia et mradi wa sgr kutoka Mwanza to isaka upo asilimia 10 na umeanza siku nyingi sana
Tuache story za shell sasa tuongelee vitu vya maana, kuna viongozi wengine wanapita humu kuchukua mawazo.Mwasonge nimetoka week na nusu iliyopita nimerud leo nimekuta kuna mtu anajenga sheli 😄😄😄😄
ok jambo zuri hilo kakaTuache story za shell sasa tuongelee vitu vya maana, kuna viongozi wengine wanapita humu kuchukua mawazo.
Hivi ukitaka kufika Usagara, kuna barabara ya moja kwa moja kutokea Mwanza CBD kupitia Buhongwa kwenda huko au mpaka uende Buzuruga, Igoma, Kisesa, then ukamate Kisesa bypass to Usagara???Jiji la mwanza upande wa miundombinu ya barabara tunahitaji barabara zifuatazo kwa unataka
1.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had usagara
Zote mbili unaweza zitumia lkn ukitokea mjn ya kisesa inakuwa ni ndefu bora upitie buhongwaHivi ukitaka kufika Usagara, kuna barabara ya moja kwa moja kutokea Mwanza CBD kupitia Buhongwa kwenda huko au mpaka uende Buzuruga, Igoma, Kisesa, then ukamate Kisesa bypass to Usagara???
Ukipita night inapendeza sana aiseeNYEGEZI BUS TERMINAL