intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Lwanhima ni kata kama unatoka buhongwa unaenda relini huko kote sijui isebanda,sahwa ya chini na ya juu kagera zote ni lwanhima
Lwanhima ni kata kama unatoka buhongwa unaenda relini huko kote sijui isebanda,sahwa ya chini na ya juu kagera zote ni lwanhima
Kwa unataka kusema nyamhongolo sio classic kama nyegeziNyamhongolo hakuna sehemu ya jengo la abiria kwa ndan ila nyegez zipo 2 na mabenki kibao kama 6 na stand ya nyegezi ina maduka mengi sana na supermarket za kutosha
...na je hizo benk tayari Zina wapangaji au ni open ..Video Iko fresh.ila too much filters inapoteza nature ya eneoView attachment 2370939
Ukitaka kufaidi ijaze video hii kwenye PC au Simu yako
Hongera kwa kuipiga picha habari yote tujisomee wenyewe
Pale nyegezi sasa hv ujenzi wa magorofa umeshika Kasi sana mfanoHongera kwa kuipiga picha habari yote tujisomee wenyewe
TAA washushe dude lao la B32 hilo tugeuze supermarketNimemaliza kumsikia RC malima kuhusu uwanja wandege mza!! Kumbe shida ni nani anapaswa kuwa mmiliki wa terminal hiyo ikiisha!!
Inasemekana wamiliki wa uwanja huwa ni TAA, sasa nikama wamelisusa jengo maana wao walikiwa washa design kujenga jengo la terminal la kisasa zaidi kwa bilioni 32 lakini kinyume na utaratibu almashauri zikaelekezwa kujenga jengo la muda kwa kutumia fedha zao bila kuwa shirikisha TAA, sasa TAA hawalitaki hilo jengo wanasema lipo kama standnya buswanasema liwe supermarket
wao wanataka wajenge lao la b32, na kama watalazimishwa kupewa hilo basi wao wawe wamiliki moja kwa moja na watalibadili matumizi wakati huo huo mkoa nao hawataki kuliachia jengo!! Wanasema kwakuwa ni wao wametoa fedha wanahaki ya kukusanya mapato!! Mwisho wasiku jengo limekosa suluhu
![]()
According tu makinda mwezi wa kumi Raisi atatoa matokeo ya sensa sijajua itakuwa tarehe ngapMajibu ya sensa yanatoka lini wadau?
Naunga mkono maana pia ni hiki jengo ni dogo sana.
Mwezi wa 10.Majibu ya sensa yanatoka lini wadau?