Iv hii stend kun stend ya daladala au zitakua hazipit hapoNYEGEZI BUS TERMINAL
Iv hii stend kun stend ya daladala au zitakua hazipit hapoNYEGEZI BUS TERMINAL
KabuhoroHapa wapi?
Naweza nikaipost hii tena coz nimeipenda.NYEGEZI BUS TERMINAL
Mule ndani ya stand kuna parking tena ya magari madogo 80Iv hii stend kun stend ya daladala au zitakua hazipit hapo
Tatizo kwenye kupata hizo miradi na kwasasa miradi kama ya tactic wameipeleka mbele adi mwezi ya tatu, kwa hizi project tusubiri kudra ya mwenyezi mungu kwa hii serikali yetu ya sasa.Jiji la mwanza upande wa miundombinu ya barabara tunahitaji barabara zifuatazo kwa unataka
1.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had usagara
2.upanuzi wa njia nne kutoka mjini had nyanguge
3.barabara ya airport had nyanguge na kisesa
4.mkuyuni to nyakato
Jama mwanza ni kubwa nimezaliwa hapa na mababu zangu na mabibi zangu wote sijawahi kufika kabuhoro zaidi ya kupasikia tu, na maeneo mengine mengi tu nayasikia lakini sijawahi, hivi kabuhoro ipo wapi?nauliza wanazengo
Kabuhoro ipo kirumba pembezoni mwa ziwaJama mwanza ni kubwa nimezaliwa hapa na mababu zangu na mabibi zangu wote sijawahi kufika kabuhoro zaidi ya kupasikia tu, na maeneo mengine mengi tu nayasikia lakini sijawahi, hivi kabuhoro ipo wapi?nauliza wanazengo
Napajua alafu nilikuwa sijui kama panaitwa kabuhoro😂😂😂Kabuhoro ipo kirumba pembezoni mwa ziwa
Unachanganya Kigoto na Kabuhoro, upande wa ziwa ni Mwaloni / Kigoto/ Ibanda/ Mihama na Bwiru. Kabuhoro imepakana na Magomeni, Kigoto/ Mamlaka ya Pamba na Ibanda.Kabuhoro ipo kirumba pembezoni mwa ziwa
Jama mwanza ni kubwa nimezaliwa hapa na mababu zangu na mabibi zangu wote sijawahi kufika kabuhoro zaidi ya kupasikia tu, na maeneo mengine mengi tu nayasikia lakini sijawahi, hivi kabuhoro ipo wapi?nauliza wanazengo

Mimi kunasehemu naskia zinaitwa, sahwa, isebanda, ilalila, kwa kweli sijui hata zipo wapiKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu😂😂😂😂Mimi kunasehemu naskia zinaitwa, sahwa, isebanda, ilalila, kwa kweli sijui hata zipo wapi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shibula ndo nipo hapa sahv watu wamejenga sana nyumba zimeanza kufumuka kale kaukijiji kameanza kutoka siku wakifikisha Lami ukijiji unaishaKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu😂😂😂😂
Bulale,nyakagwe,nyangwi,kigoto,nyanembe zipo buhongwa zimepakana watu wamejenga kwelikweli sio mchezo af sahwa ya chini,juu,isebanda,kanindo hzo zipo kama unatokea buhongwa relini watu wamejenga sio mchezo na Soon hayo maeneo yatakuwa na Lami baada ya mrad wa tactics kuanzaKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu😂😂😂😂
Fumagila iyo ni kishiri kutoka kishiri centre Hadi fumagila ni km kama 5 watu wamejenga sio mchezo hyo njia inaenda kuungana na barabara ya kisesa usagara karibu na felaKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu😂😂😂😂
Nyamadoke hyo ni maeneo ya buswelu kutoka buswelu centre had nyamadoke ni km kama 4.5 hyo njia ndo inatokea stand ya nyamhongolo nayo ipo kwny mrad wa tactics kwa ilemelaKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu😂😂😂😂
Mkuu upo vizuri, na. Hiyo lwanma ipo wapiNyamadoke hyo ni maeneo ya buswelu kutoka buswelu centre had nyamadoke ni km kama 4.5 hyo njia ndo inatokea stand ya nyamhongolo nayo ipo kwny mrad wa tactics kwa ilemela
Me nimefika, Igombe, nyamadoke,kayenze(huku na waarabu na wasukuma), bulaleKumbe tupo wengi mimi kuna masemele, igombe, kanindo, nyamadoke, kabusungu, kayenze, sawah juu, sawa chini, fumagila isebanda, shibula, bulale, lwanhima n.k huwa napasikia tu![]()