Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mh.mbona itakuwa so overrated..Kwa sababu growth rate ya mwanza kati ya 2002 -2012 ilikuwa ni ongezeko la watu laki 4 ....ukichukua laki 7 +400000 .inapata estimate ya 1.1 m .hii ni exact minimum expectation
Hiyo ni kwa jiji la mwanza yaan nyamagana lakini kwa nyamagana na ilemela watagusa 2 milion na zaidi me nakuambia.
 
Maybe .. Ngoja tusubiri..ila sasa mwache kuomba dual carriage.. haiwezekani jiji la watu 2 milioni lilie dual carriage kama manispaa za mtwara
 
Hii dude kwa speed yake itafika 15 floor nazan watu mpaka waone macrane ndio waamini lkn hilo dude litasonga hivyo hivyo adi 15 floor
We 15 sio mchezo ... Unataka lianguke ,, sijawahi ona jengo la ghorofa 15 likajengwa kawaida na mafundi ...
 
Hotuba ya mkuu mkoa wa mwanza akielezea fursa mbali mbali zilizopo kwenye ziwa Victoria...ambazo nyingi hazijulikani .mfano cage fishing ambao ni ufugaji wa kisasa wa samaki ndani ya ziwa ambao umeonekana kuwa effective sana kwenye uzalishaji wa samaki ..lakini wanaoufahamu ni wachache sana ..
Ana mpango gani sasa wa kufacilitate ziwa litumike effectively.
 
Maybe .. Ngoja tusubiri..ila sasa mwache kuomba dual carriage.. haiwezekani jiji la watu 2 milioni lilie dual carriage kama manispaa za mtwara
Jembe itabidi tuombe tu hiyo dual carr kwa sasa coz hatuna.
 
We 15 sio mchezo ... Unataka lianguke ,, sijawahi ona jengo la ghorofa 15 likajengwa kawaida na mafundi ...
Jembe hiyo ni company kubwa ya ujenzi mkuu ingekuwa ghorofa linaenda zaidi ya 20 hapo sawa mbona 15 floor ni ujenzi wa kawaida kama substructure ipo vizuri.
 
Mpango Gani sasa ..anawaita wawekezaji na vijana mkachukue mikopo Kwa ajili ya boti za uvuvi na mradi wa cage fishing
Huo mpango wa uvuvi ni vizuri angeupeleka, buchosa, magu, sengerema, igombe, kayenze na visiwani sisi wa hapa mjini tunataka fukwe nzuri na boat za utalii ili tulitumie ziwa letu vizuri zaidi, nilizan atakuja na mpango wa tampere park😂😂😂
 
Jembe itabidi tuombe tu hiyo dual carr kwa sasa coz hatuna.
Si ipo ya makongoro.ni dual ,,,ukija Nyerere road kuna TRI Lanes carriage .... serikali inatakiwa ipige njia sita kuanzia junction ya kenyata road Hadi Usagara round about..ipige njia sita kutokea buzuruga mataa Hadi round about ya kisesa , ipige njia nne kutokea buzuruga mataa Hadi pasiansi na ijenge interchange buzuruga...na pasiansi..imagine hili jiji lingekuwa modern sana
 
Mh.mbona itakuwa so overrated..Kwa sababu growth rate ya mwanza kati ya 2002 -2012 ilikuwa ni ongezeko la watu laki 4 ....ukichukua laki 7 +400000 .inapata estimate ya 1.1 m .hii ni exact minimum expectation
Mwanza ina watu wengi sana sasa hv mwaka 2012 buhongwa ilikuwa na watu 26000 unafkr 2022 itakuwaje
 
Jembe hiyo ni company kubwa ya ujenzi mkuu ingekuwa ghorofa linaenda zaidi ya 20 hapo sawa mbona 15 floor ni ujenzi wa kawaida kama substructure ipo vizuri.
Kwan inayojengwa hapo ni nini . hotel au jengo la biashara
 
Si ipo ya makongoro.ni dual ,,,ukija Nyerere road kuna TRI Lanes carriage .... serikali inatakiwa ipige njia sita kuanzia junction ya kenyata road Hadi Usagara round about..ipige njia sita kutokea buzuruga mataa Hadi round about ya kisesa , ipige njia nne kutokea buzuruga mataa Hadi pasiansi na ijenge interchange buzuruga...na pasiansi..imagine hili jiji lingekuwa modern sana
Hizo mipango kwa hii nchi yetu macho yote yapo Dar na dodoma tu sizan kama hizi plan zinaweza kutokea.
 
Huo mpango wa uvuvi ni vizuri angeupeleka, buchosa, magu, sengerema, igombe, kayenze na visiwani sisi wa hapa mjini tunataka fukwe nzuri na boat za utalii ili tulitumie ziwa letu vizuri zaidi, nilizan atakuja na mpango wa tampere park
Sasa rafik angu boti za utalii ziletwe na serikali Tena ..na private sector itakuwa na kazi Gani ..nadhan hyo ndio maana ya fursa kuwafanya watu kutambua opportunity mbalimbali na kuzifanyia uwekezaji
 
Si alikuwa na wadau wa sector binafsi angewaambia kuhusu hizo fursa, hili jiji limekaa poa sana, location yake ni balaa mkuu, pia ina kila kitu.
 
Tatizo viongozi wakiwa kwenye makongamano ni wazuri kuhutubia ila wakiwa ofisini ni ukiritimba mtupu.. Kwan ni wawekezaji wangapi wameonesha ya kuwekeza na wamepigwa chini
 
Back
Top Bottom