Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hii ni clear ...haiitaji maelezo...tunaweza kutumia ziwa pekee kuwa jiji lenye lenye uchumi imara Africa mashariki
20220926_212133.jpg
 
Maybe hizi hotuba zisiishie kwenye makongamano kama haya .ziende ndani ndani kule magu , sengerema,buchosa,ilemela ,ukerewe na nyamagana...
Screenshot_20220926-212142.jpg
 
Hiyo idadi ni ndogo kwa jinsi nilivyopata taarifa za chini, ilemela + nyamagana = 2.2-2.5 milion
Mh.mbona itakuwa so overrated..Kwa sababu growth rate ya mwanza kati ya 2002 -2012 ilikuwa ni ongezeko la watu laki 4 ....ukichukua laki 7 +400000 .inapata estimate ya 1.1 m .hii ni exact minimum expectation
 
Mkuu sijaelewa umuhimu wa hii taarifa naomba unifafanulie si unajua sisi wagumu kuelewa
Hotuba ya mkuu mkoa wa mwanza akielezea fursa mbali mbali zilizopo kwenye ziwa Victoria...ambazo nyingi hazijulikani .mfano cage fishing ambao ni ufugaji wa kisasa wa samaki ndani ya ziwa ambao umeonekana kuwa effective sana kwenye uzalishaji wa samaki ..lakini wanaoufahamu ni wachache sana ..
 
Back
Top Bottom