Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Bila kusahau hotel yenye hadhi ya nyota saba kubwa sana na jengo la ghorofa sita inaitwa lenana hotel karibu na pasiansi mataa kidogo nilipige picha jana ila nikaona nouma.Duh kama ni hotel ni lazima 4 star...then Hiyo road itakkuwa accomodation site ..Kuna hotel classic Kama 5 .kuanzia edden palace pasiansi Hadi hotels farms ghana



