Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Baada ya soko kuu la kirumba kuvunjwa kupisha ujenzi wa soko kuu la kisasa manispaa ya ilemela👇👇
IMG_20220925_121042_2.jpg
IMG_20220925_121048_2.jpg
 
Yaan humu ndani ..mim nikiwa offline..Uzi unachangamka sana ..ila nikiwa active ,,, comment chache kinoma [emoji14][emoji16][emoji16]..Jana sikuwa online ,nimekuta Uzi umetembea comments nyingi kinoma [emoji16]
 
Back
Top Bottom