Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hv mbele ya kahama kabla haujafika junction ya tx huwa kuna eneo kubwa sana au kuna project kubwa au ni eneo la viwanda?
 
Hv mbele ya kahama kabla haujafika junction ya tx huwa kuna eneo kubwa sana au kuna project kubwa au ni eneo la viwanda?
Jeshi / Airport. Hio barabara imekatiza eneo nyeti tu, nadhani ukiwa drajaniunaelekea Ilalila pale Bondeni upande wa kushoto kuna nyumba/ ofisi iko peke yake nisikia huwa ni ya wazee wakazi
 
Jeshi / Airport. Hio barabara imekatiza eneo nyeti tu, nadhani ukiwa drajaniunaelekea Ilalila pale Bondeni upande wa kushoto kuna nyumba/ ofisi iko peke yake nisikia huwa ni ya wazee wakazi
Yaani .kule butimba wanakojenga mradi wa maji ..Kuna eneo kubwa zuri na la kijani ,lakin lile eneo limeshikwa na jeshi na magereza..Pako vizuri kweli,,,,,
 
Nilikuwa hapo mwezi wa tatu ,watu walikuwa wanagombania maeneo kinoma..
Kuna eneo liko open pale mahina relini lilitengwa Kwa ajili ya viwanda ,..Ile mitaa ilikuwa stagnant kweli ila now Pako hot sana ...
Kuna kiwanda na work shop kubwa ya kampuni la madini la sandvick .pamependeza sana
Picha
 
Screenshot_20220920-140242_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom