Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kama Mimi tu enzi hizo nasoma advance nilikuwa natoka butimba magereza kwa miguu napita chake chake napasulia igogo natokea bugando then mjini kati natokea daraja la wamasai huyo mpaka lake. Wakati wakurudi home napita huku station nafuta reli mpaka voil halafu Rami mpaka nafika home. Nishawahi kutoka butimba kwa miguu nikaenda buzuruga, kangae nikatokea buswelu nikarudi kwa miguu through the same route . Daaah haya maisha bhana
Mwamba umekaa Butimba Magereza!?
 
Siku hizi filling station naona zinaipamba barabara ya Buswelu-Kahama na zitaongezeka uelekeo wa Sangabuye mpaka Igombe na Kayenze
Hizi Filling Stations zimejaa barabara ya Nyegezi_usagara Kila baada ya mita kadhaa tu unakutana nayo katikati ya Mkolani na Nyashishi ni Utitiri pande zote za Barabara
 
Mliokuwa mnasubiri taa za barabarani mwanza Kwa ufupi Kwa wasio na bando
Kuna mkandarasi kashawekwa kuweka taa kuanzia ilemela Hadi pasiasi ,na wako kwenye manunuzi ya kumpata mkandarasi atakayeweka taa kuanzia pasiansi Hadi Town ..
Kwa barabara ya kenyata tayari mkandarasi kaweka taa Hadi Pepsi ,na mwingine mkandarasi ataweka Hadi mkolani
Kwa mwaka huu wa fedha mkandarasi amepatikana ataweka taa Hadi igoma .
Swali linakuja wakitaka kupanua barabara hasa kenyata itakuwaje.
 
Kwann wasiweke taa Hadi buhongwa wanapachukuliaje buhongwa
 
Naomba kuuliza wapi mwanza kuna viwanja bei nafuu karibu na ziwa.

Nilikua nafikiria bukumbi kule ila naona mbali kutoka town?.
Mi natafta kiseke , nikipata cha million 2 kushuka hata Leo nanunua
 
Anaweza akapata , inategemea na kiseke ipi na ukubwa wa kiwanja
Buswelu yote ni almost imepimwa nadhani.

Kuna kipindi nilikuwa natafuta kiwanja Nyamhongolo, au Buswelu yaani bei ni hatari. Nyamhongolo penye unafuu pamebaki Kashishi na Nane Nane ambako wanasema kulikuwa na majariba
 
Mrs Lissu ninakuona tu unavyonicheka kwa ushamba wangu wa nyota tano, haina shida mkuu, lakini haya ni maisha tu, nikipata fedha mi nitajenga ya nyota sita halafu nitakualika uje kula bata, unasemaje Mrs Lissu?
 
Namcheka zaidi anayejitahidi kukujibu...!dah maisha haya....! Nialike tu mkuu napenda maisha hayo mimi
 
Back
Top Bottom