Dah poleThe sunk alininichoma baada ya kuexpose picha yake halisi.



Nadhan unakumbuka ila picha ya deo kivevele😂😂😂Dah pole![]()
Barabara ya Usagara kuelekea wap .. kisesa,au mjini ??Jana nilienda nyashishi kwa demu wangu, pale kwao kuna dada yake so nikawa napiga naye stori katika story akaniambia kuwa kuna ujenzi upo barabara ya usagara wanapanua pembeni kufanya njia nne me sijaamin natak kuwaulz je hiki kitu ni kweli na huyo shemella akainsist siku nikirudi tena nyashishi nitakuta upanuzi umeshafika maeneo hayo plz nambieni kama upanuzi wa njia nne ndo umeanza kimya kimya au...
Usagara round about kuja huku Mwanza city, kulingana na taarifa za shemella.Barabara ya Usagara kuelekea wap .. kisesa,au mjini ??
🤣🤣🤣 yalishapita.Eeh bwana ,,,,,![]()
Mwanza kubwa aise!Hizo nyumba nyingi zinapoonekana mbele ya daraja la mwasonge ni nyakagwe
Wanaweka mpka jengo la ccm mkoa hizo taa..pia kenyatta road na nyerere road wanaweka kuna video ilitumwa humu inaeleza kila kitu ngoja nikutumia link usikilizeNaona wameweka taa kutoka airport adi pasiansi sasa jiji linaanza kuwaka, natamani hizi taa zifike mpaka nera, pia waweke kenyatta road na nyerere road pia tatizo je upanuzi wa barabara ukianza wataamisha tena hizo taa kama wakiweka sasa kwenye barabara za nyerere na kenyatta?
Naona wameweka taa kutoka airport adi pasiansi sasa jiji linaanza kuwaka, natamani hizi taa zifike mpaka nera, pia waweke kenyatta road na nyerere road pia tatizo je upanuzi wa barabara ukianza wataamisha tena hizo taa kama wakiweka sasa kwenye barabara za nyerere na kenyatta?
Itumie humu tumtese mjinga sana huyoThe sunk alininichoma baada ya kuexpose picha yake halisi.
Mitaa yangu hii . kuelekea mahina relinKumbe pia soko la pale mkuyuni nalo litahamia pale mswahihili wanapojenga soko lililopo litavunjwa
Picha MkuuMradi wa ujenzi wa sgr wametia kambi mkuyuni na wameweka mabati kuzungushia eneo la mradi kuanzi hapo mkuyuni kuelekea Mwanza south port, nahisi wanaweka nguzo kwaajili ya fly over njia ya train.
Nilikuwa hapo mwezi wa tatu ,watu walikuwa wanagombania maeneo kinoma..Mkuyuni sasa hv kwny SGR mambo ni fire kuna makaburi yanahamishwa watu wanang'ang'ania makaburi wanataka fidia