Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Miradi ya TACTIC kupelekwa mpaka mwezi wa tatu??? hawa viumbe wanatuchelewesha. Inatakiwa tumalizane nayo mapema tuibue mingine faster.
 
Hii ndio nchi yetu, pesa ata kama imeshaletwa na world bank lazima walamba asali wachukue vyakwao kwanza, then watafute tena wakandarasi wao ambao watapatana kwenye 10% wakimaliza michakato yao hiyo then pesa kiasi ndio zifikishwe kwenye halmashauri , jambo la kheri ni kushukuru miji yetu ya Mwanza cc na Ilemela ipo kwenye tier one yaani miji ya kwanza kuanza kupata miradi.🙏🙏🙏
 
Hapo tutamkumbuka magufuli pesa
Bashungwa kasema leo miradi ya tactic itaanza kujengwa mwezi wa tatu kwa tier one, sasa hayo mabati yatazungushwa adi mwezi wa tatu😂😂
Miradi ya TACTIC kupelekwa mpaka mwezi wa tatu??? hawa viumbe wanatuchelewesha. Inatakiwa tumalizane nayo mapema tuibue mingine faster.
mkataba umesainiwa mwez wa 6 wakandaras wanatafutwa kwa miez 9
 
Hii ndio nchi pesa ata kama imeahaletwa na world bank lazima wakamba asali wachukue vyakwao kwanza, then watafute tena wakandarasi wao ambao watapatana kwenye 10% wakimaliza michakato yao hiyo then pesa kiasi ndio zifikishwe kwenye halmashauri usiku, jambo la kheri ni kushukuru miji yetu ya Mwanza cc na Ilemela ipo kwenye tier one🙏🙏🙏
Hii serikali ni dhaifu kwenye masuala ya fedha yaani kukusanya na kusimamia.
Hii tier one na tier two ni janja ya kupeleka hizo fedha sehemu zingine ambako bajeti imepelea watarudisha baadae.
Tatizo lililopo ni kwamba wanajitutumua nia ni kumfunika Magufuli, sioni sababu ya kujenga sgr phase zote wakati pesa ni ya shida, kwani tu kijenga phase moja moja kuna shida gani.
Miradi imekua inasuasua sana nchi nzima.
 
SGR ya Dar tu, kila siku wanapostponed Tanzania Railways Corp hii sontofahamu ya Kipande Dar- Moro mnamaliza lini?
 
Kwa Hali hii tusitegemee upanuzi wa barabara ya kenyatta njia nne
Mimi nilishaga jikatia tamaa na huyu mama, ila naonekana simpendi.
Kale kajengo ka airport kamegoma kuisha Toka Magu afe.
Magu angekuwepo hizi barabara zingekuwa zimetangazwa hata tender, tena Magu alikuwa anspiga njia nne 50km barabara zote zinazoingia na kutoka kwenye miji mikubwa
 
Mi huda nawaangalia tu wanaopiga kelele za upanuzi barabra hasa mwanza! Mambo sio mepesi kiasi hicho! Mabula na baraza la madiwani inabidi wakomae sana na serkali! Mama Samia uwezo wake mdogo sana mwenye mambo ya miradi!
 
Hata barabara ya airport nyanguge tender ingekuwa imetangazwa
 
Upanuzi wa barabara si leo wala kesho magufuli angekuwa mjanja angeweka upanuzi wa barabara na ujenzi wa daraja la kigongo busisi ukaenda pamoja chini ya mkandarasi mmoja.
na hapo baba ndipo alipokosea yan angekuwa hata ameianzisha kwa asilimia 10
 
Mi huda nawaangalia tu wanaopiga kelele za upanuzi barabra hasa mwanza! Mambo sio mepesi kiasi hicho! Mabula na baraza la madiwani inabidi wakomae sana na serkali! Mama Samia uwezo wake mdogo sana mwenye mambo ya miradi!
na sio mabula wabunge wote wa mkoa wa mwanza wakomae kwelikweli
 
na mama sahv haji mwanza baada ya zile ziara zake kukosa watu na mvuto anamtuma makamu tu na majaliwa
 
Barabara itajengwa tu ,,,,kinachosababisha ucheleweshaji ni utofauti wa taasisi za usimamizi na bajeti ...Kwa barabara ya kenyata lazima waandae pesa ya kutosha .kwanza fidia ,pili gharama za ujenzi,tatu gharama za mkandarasi mshauri ...Kwa hyo tanroads inabidi wajipange kwanza kabla ya kumuita mkandarasi
 
mbona barabara zingine zinatangazwa ina maana zinazidi uzito wa barabara ya kenyatta?
 
Baba magu alikuwa hatar alizikomalia ilemela na nyamagana zijenge jengo la uwanja wa ndege
Nilimpenda lakini kwenye kuwapa mzigo halmashauri wajenge ni kama kuwaonea na inaonekana hili jengo la abiria halikuwa kipaumbele chake.
 
Back
Top Bottom