Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Mikdde angalia hizi nyumba zinavutia coz hazina lile bati tulilozoea, hapa ukute masika Green nayo imekubali zinamatch vizuri.
Ingekuwa bati hizi nyumba zingeonekana vibaya.
Yule Kenge wa Njombe atakwambia picha ya mbeleView attachment 2361052
Mambo ya kabuhoro
Hii Mitaa ipiView attachment 2361038
Mikdde angalia hizi nyumba zinavutia coz hazina lile bati tulilozoea, hapa ukute masika Green nayo imekubali zinamatch vizuri.
Ingekuwa bati hizi nyumba zingeonekana vibaya.
Wanasema Igelegele near BugarikaHii Mitaa ipi
Hali inatisha bila kuwa na infrastructure za maana itakuwa kero. Imagine unapeleka mwanao shule yenye wanafunzi 5000+Population mwanza inazid kuwa kubwa sasa hv nyamagana Wana jenga madarasa mapya ya shule za msingi 250 siku Moja nilimsikia mkuu wa wilaya anasema shule ya msingi bulale ina wanafunzi 5000+ ndan ya miez 3 wanafunzi waliohamia shule hyo ni 500+ kwa mwendo huo akasema Hali inatisha
Kwenye suala la Miundombinu Mwanza ipo Nyuma sana, lakini feasibility study katika barabara mhimu zimekua ni za miaka nenda rudi. Nyumba zinajengwa bila mpangilio,Mfano city centre wangejenga Ghorofa kuanzia 10f+ sio lazima kila anaejenga Ghorofa ajenge city centre wengne wajenge hata Buzuruga huko ili kuipa nafasi city centre kuwa na tall buildingsHali inatisha bila kuwa na infrastructure za maana itakuwa kero. Imagine unapeleka mwanao shule yenye wanafunzi 5000+
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kwa sasa kwenye suala LA upimaji maeneo mengi yamepimwa.Kwenye suala la Miundombinu Mwanza ipo Nyuma sana, lakini feasibility study katika barabara mhimu zimekua ni za miaka nenda rudi. Nyumba zinajengwa bila mpangilio,Mfano city centre wangejenga Ghorofa kuanzia 10f+ sio lazima kila anaejenga Ghorofa ajenge city centre wengne wajenge hata Buzuruga huko ili kuipa nafasi city centre kuwa na tall buildings
Mbona kabuhoro ni uswahilini sanaView attachment 2361052
Mambo ya kabuhoro
Nimefika mwaka 2019 ..nimefanya field yangu kirumba
Hiyo ni Bwiru ndogoNimefika mwaka 2019 ..nimefanya field yangu kirumba
Nashangaa anaidharau kabuhoro
Kijana nimekusoma toka mwanzo hakika kama haupo kwenye tasinia ya habari basi utakuwa ni CIA, lakini unafail kwenye picha ukiona kitu piga picha sio maneno maneno tu humu ni picha na maneno kiasi, ila big up sana.Soko la kirumba lote limevunjwa wafanyabiashara wote wamehamia soko la mda magomeni