Timeline ya maendeleo ya mwanza
2013 ujenzi wa nssf hotel na rock city mall ulianza
2014 upanuzi wa barabara ya Nyerere road njia tatu Hadi buzuruga ulianza.ghorofa nyingi ndefu zilijengwa mwaka huu
2015 ujenzi wa daraja la mabatini ulikamilika ,uwekaji wa taa za magari pale buzuruga, ujenzi wa barabara ya buzuruga pamoja na kufunguliwa Kwa jengo la biashara la buzuruga plaza na jengo la TFDA buzuruga,na kukamilika Kwa barabara ya butimba,na barabara ya malaika Beach.(ulikuwa Ni mwaka wa buzuruga)
2016 upanuzi wa airport ya mwanza na ujenzi wa control tower ulianza,na upanuzi wa barabara kutoka buzuruga Hadi mwatex , ujenzi wa jengo la BOT
2017 ujenzi wa barabara ya airport njia nne pamoja daraja la furahisha ulianza .uwekaji wa taa maeneo ya bwiru na pasiansi, barabara za katikati ya jiji zilijengwa kipind hiki
2018 uwekaji wa taa za kuvukia barabarani barabara zote ulikamilika,ujenzi wa cherezo na maandalizi ya ujenzi wa daraja la JPM ulianza.uwekezaji wa hospital ya tanzanite na hospital ya kamanga medics
2019 ujenzi wa jengo la abiria ulianza , ujenzi wa hospital ya wilaya ya nyamagana, ujenzi wa stendi ya nyamhongolo,na maandalizi ya ujenzi wa stendi ya nyegezi, ujenzi wa barabara ya sabasaba kiseke buswelu, barabara ya nyakato to buswelu, ujenzi wa soko kuu ulianza
2020 ujenzi wa ofisi za wilaya ya nyamagana mkolani , ujenzi wa ofisi za halmashauri ya ilemela, ujenzi wa hospital ya wilaya ya ilemela, kuongezeka Kwa Costa na route za magari kuongezeka , ukarabati wa meli ya mv Victoria
2021 kuanza ujenzi wa SGR , uwekezaji wa kivuko binafsi Cha mkombozi , usafiri wa speedy boats kwenda ukerewe.ujenzi wa Mradi mkubwa wa maji butimba
2022 mwendelezo wa miradi ya nyuma .ukiacha miradi binafsi sijaiona mradi Mpya wa serikali labda anuani za makazi
WEW ULIYEONDOKA 2013 HYO NI TATHMIN FUPI YA MAENDELEO YA MJI WA MWANZA ,sijaweka miradi ya wilayani huko Kwa sababu mingi siijui ko kama Kuna mingine nimeisahau wakuu wataongezea