More snap broSoko la kirumba Limekwisha bomolewa tayari kwa ujenzi wa jipya
Kiseke viwanja vipo ila kuanzia mil 10 na Buyombe vipo vizuri kuanzia mil 6 vyote vimepimwa shida ukikiona leo kesho ukieudi kimeishachukuliwa.Kiseke ya mlima wa rada
Karibu tena tuendelee kuimalisha mwanza yetu.The sunk alininichoma baada ya kuexpose picha yake halisi.
Wanasubiri miradi ya tactic ikamilike then waangalie na barabarani nyingine za kimkakati, lakini nadhani hiyo barabara ya nyaguge itakuwa chini ya Tanroad ngoja tuone.Serikali ni kama huwa inafanya makusudi kujenga barabara nyingi za Lami mwanza mfano hii barabara ya airport kayenze had nyanguge au kisesa ilitakiwa iwe imeshajengwa ni barabara Moja strategically kiuchumi sasa tatizo linakuja ile barabara kwny mpango inaonekana inapitia nyanguge je na kisesa kwann wasiweke pote tu lami manake hata njia ya kisesa sahv pale kisesa kuna stand na soko ile njia watu wamejenga sana na bado wanaendelea kujenga
Sizani kama ujenzi utaanza mapema kama tunavyotegemea, mimi nitaamini nikianza kuona render na tender na mkataba ukisainiwa baina ya halmashauri na mkandarasi kwa sasa tusubiri tu coz wanaweza kuzungusha mabati ata miaka miwili kama walivyofanya miradi ya ujenzi soko kuu la mwanza na stendi ya nyegezi.Soko la kirumba Limekwisha bomolewa tayari kwa ujenzi wa jipya
Kiseke bado kuna viwanja?Kiseke viwanja vipo ila kuanzia mil 10 na Buyombe vipo vizuri kuanzia mil 6 vyote vimepimwa shida ukikiona leo kesho ukieudi kimeishachukuliwa.
Waliishia kulipa watu fidia kwenye makaratasi na mradi wa ujenzi ukapepea na upepo😂😂😂Mzumbe wana eneo buswelu..waliishia wapi mipango ya ujenzi wa chuo
Kijana anapenda kutuhabarisha tunafurahi lakini kutupia picha hawezi.Usije bila picha, ukiwa unapiga picha panda hata kwenye mti upate View nzuri
Tunaweza kupata render mkuu??Kumbe pia soko la pale mkuyuni nalo litahamia pale mswahihili wanapojenga soko lililopo litavunjwa
Wanapotengeneza sofaPale sheli ya GBP nyegezi kwny kile kiwanja wanapotengenezea maduka na kona ya kwenda kanisa la wasabato wamezungushia mabati nafikir kuna tower inashuka
Pale si wanajenga watu wa kamanga medicsPale sheli ya GBP nyegezi kwny kile kiwanja wanapotengenezea maduka na kona ya kwenda kanisa la wasabato wamezungushia mabati nafikir kuna tower inashuka