Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Wanaogopa kuondoleewa bila fidia 😀😀😀😀
Hakika. Fela hakuna harakati za ujenzi Kama Usagara ( Nyanshishi ), Kisesa, Ilalila, Masemere huko.

Sehemu nyingine iliyopooza ni Kigongo ferry.
 
Kwani Station ya Fela na Mwanza ni tofauti?
Yes, Mwanza city zitakuwa mbili Fela na town center.
JamiiForums1323424835.jpg


Hiyo chini ndio itakuwa city center

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama takwimu zitabaki hivi basi ni wakati wa kuziingiza Kisesa na usagara ndani ya jiji na kuunda municipal nyengne
 
Back
Top Bottom