Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,169
- 6,182
Home Kiloleli Montessori, Makazi Mhongolo Kahama [emoji13][emoji13][emoji13]Ambacho nimegundua wengi tuliomo humu ni wenyeji wa mwanza lakini hatupo mwanza...walioko mwanza now .hawapo active kwenye Uzi ndo maana Kuna baadhi ya update hatuzipati Kwa wakati .now nipo kahama ila nikitua hapo ,, update zitakuwa za kutosha