Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Yes, Mwanza city zitakuwa mbili Fela na town center.View attachment 2346737

Hiyo chini ndio itakuwa city center

Sent using Jamii Forums mobile app
Usije shangaa ukasikia ziko 3 nahisi mwanza south kunaweza kuwa na stesheni ndogo.
IMG-20210813-WA0042.jpg

Michoro mingi nimekuwa nikiona mwanza south ikijumuishwa.
Mkoa wa mwanza una Bukwimba, Mantare, Fela, Mwanza South na Mwanza Central, labda wawe wameondoa sasa hivi
 

Nhc wanakuja na samia housing scheme.
Watajenga majengo ya ghorofa 10-12 kwa ajili ya watu kuishi.
Kuna mpango wa kujenga majengo ya kibiashara Mwanza ikiwemo.
Watakarabati baadhi ya nyumba zao pia.
Naona ni habari nzuri kama yakitekelezwa.
 
Hii hospital ishajengwa ,walianza phase one ambayo Inatumika sa hv..wakati naondoka April walikuwa wanajenga phase two yenye ghorofa kama Tano ,maeneo ya rufiji jirani na pigeon hotel
 
Hii hospital ishajengwa ,walianza phase one ambayo Inatumika sa hv..wakati naondoka April walikuwa wanajenga phase two yenye ghorofa kama Tano ,maeneo ya rufiji jirani na pigeon hotel
Siku ukiwa mwanza utupe kapicha
 
Leo nilikuwa mwasonge nilitoka huko miaka 3 iliyopita ilikuwa ni Kijiji leo nilichokiona cjaamin kabisa pale centre kuna mtu kajenga frame 20 za maduka watu wanajenga frame za maduka kila kona nyumba sasa hz hardware za kuuza vifaa vya ujenzi zipo kama 15
 
leo nimemsikia mbunge wa nyamagana ccm kirumba anasema serikali imeshaingia mkataba na mkandarasi kujenga barabara ya mkuyuni Hadi mhandu pamoja na barabara ya Buhongwa igoma
Hiyo ya Buhongwa Igoma inapitia wapi?
 
Back
Top Bottom